Elections 2010 Congrats JK.... Umeweza Mdahalo/Mahojiano

Umeibukia wapi mkuu?

Hata hivyo kura ni kwa alama ya antena za V tu!!!:peace:
 
mi niliwaonea huruma Kinana na Makamba walioikuwa roho juu muda wote. Kiukweli swali aliloulizwa na Kibonde, japo la kupanga lilitaka kumtoa jasho. Niliona kabisa ukumbi umepatwa ganzi
 
Cyprian Musiba: Vijana wenzangu na ndugu zangu Watanzania mimi nilikuwa mmojawapo wa waliokuwa katika ule mdahalo,wa Mhe.JK narejea tena umeisha shinda kwa kishindo zaidi ya asilimia 93.9.the way ulivyokuwa unajibu maswali yetu waandishi hauna wa kukuzuia....

musiba huyo alivyo jikomba kwenye facebook ya JK
 
Sasa malaria sugu hapo palikuwa na mdahalo gani?na hata hizo takwimu alizitoa ni kawaida kwa kuwa alijua ataulizwa maswali gani,ndiyo maana alikesha anakalili.Angeulizwa impromptu questions(Maswali ya papo kwa papo) kama aliyoulizwa Dr Slaa na Prof Lipumba,au mfano mzuri yale aliyokuwa anauliza Pinda bungeni hapo ndiyo ungejua kuwa jamaa yako ni kilaza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
duh kweli wa tz wana majicho lakini hayaon masikio yasiyockia.Au uelewa wetu upo tofauti ww unafikiri pale kijijin kucpo na umeme e-learning ya weza fanikiwa?tafakari chukua hatua kesho
 
Jana wadau nilimuona jk akimfunika vibaya dk slaa. hasa kuzungumzia mambo ya elimu na afya.
tofauti na dk slaa. Jk alikuwa mtulivu. mwenye takwimu halisi, mwenye mchanganuo na mwenye nia nzuri ya kuinua elimu
Heko JK. ndio tegemeo la wanyonge

Jinsi unavyojieleza MS huna tofauti na jamaa mmoja anayeongea pumba kama hizi. Chuo chenu cha mafunzo washaurini wawabadilishie mitaala, mna bore
 
Baada ya ule mdahalo wa jana ndio nikapata jibu kwa nini awali CCM walikataa mdahalo.
 
Labda kwako wewe tu uliona JK kafunika, lakini kwa wenye akili na ufahamu wa kujua kulinganisha/kutofautisha hoja, JK ni 0.0000001%
 
Hiyo kali kwa kweli. Mbona alikimbia midahalo ya ana kwa ana na wogombea wenzake?
 
Cyprian Musiba: Vijana wenzangu na ndugu zangu Watanzania mimi nilikuwa mmojawapo wa waliokuwa katika ule mdahalo,wa Mhe.JK narejea tena umeisha shinda kwa kishindo zaidi ya asilimia 93.9.the way ulivyokuwa unajibu maswali yetu waandishi hauna wa kukuzuia....

musiba huyo alivyo jikomba kwenye facebook ya JK
kumbe hata huyu jamaa uwezo wake mdogo khaaaaa! HII NCHI NDO MAANA TUTAENDELEA KUWA HIVIHIVI!
 
cyprian musiba: Vijana wenzangu na ndugu zangu watanzania mimi nilikuwa mmojawapo wa waliokuwa katika ule mdahalo,wa mhe.jk narejea tena umeisha shinda kwa kishindo zaidi ya asilimia 93.9.the way ulivyokuwa unajibu maswali yetu waandishi hauna wa kukuzuia....

musiba huyo alivyo jikomba kwenye facebook ya jk

njaa tu inamsumbua
 
Jana wadau nilimuona jk akihangaika vibaya . hasa kuzungumzia mambo ya elimu na afya.
tofauti na dk slaa. Jk alikuwa mwenye Kigugumizi. huku akibahatisha takwimu sizizo halisi, mwenye kujichanganya na mwenye hila ya kuinua elimu
Heko JK. ndio tegemeo la mambumbumbu kama mimi MS

Hapo juu sawa!
 
Kwetu umeme ulikatika, tuwekewe mkutasari ya aliyotolea ufafanuzi mapema uwezapo tuweze kufanya maamuzi ya mwisho
 
MS jamaa yako choka mbaya, tumemsoma je wale mafisadi 11 na yeye akiwamo? Unalo jibu! Kifo cha nyani miti yote kuteleza. Kukuru kakala mwanangu jibu ni kesho!

Tujipange tusitoe visingizio. Kwaheli !
 
Hapana shaka kuwa JK hakufanya kitu zaidi ya MAIGIZO, kwenye mapaja alikuwa na faili na alikuwa anajua kila aliyatajwa atauliza nini. Hivyo aliandaliwa majibu na haikuwepo haja ya yeye kuwepo kwani yeyote angesoma majibu hayo.

Hama kweli ukiwa Kipofu CHINGO UNAONA NI KENGEZA. RIP MALARIA SUGU.
 
Alijitahidi kumfunika, Na hivi ndivyo alivyosema kuhusu elimu:
ya+bwatta.jpg




 

Similar Discussions

Back
Top Bottom