Elections 2010 Congrats JK.... Umeweza Mdahalo/Mahojiano

kwakweli siasa ni kitu very funny... sikutegemea kama JK angesema kuna mgombea amesema anataka kumwaga damu... huu ni uzushi wa hali ya juu

Na wale ''waandishi wa habari'' hawamuulizi huyo mtu alisema ataimwagaje hiyo damu??
 
JK na mgombea mwenza Dr Mohamed Ghalib Bilali wakiondoka ukumbi wa Arnautoglou jijini Dar baada .jpg
 
Sidhani kama kesho watu watapiga kura kwa huruma. Pamoja na yote kesho ni siku ya mavuno. Tumesikia kampeni zao na ni wakati wetu sasa kuamua nani anafaa kuongoza Taifa letu.

Pamoja tutafika! Kwa msisitizo JK ameona umuhimu wa wananchi wake na nini wanataka licha ya kutoweka wazi katika mkutano wake jana! Zaidi bado ana kura yangu, kwani sitaki kuongozwa na Fisadi Kiwembe Slaa!

Kamanda! Ni mimi ambae nilikuwa na bia mkononi wakati nasoma bandiko hili.. Kesho KURA kwa JK.... patamu hapo!

Kibunango, wewe kwa vile unafaidika naufisadi uliokithiri wa chama chako ni dhahili utampigia kura yako mlinzi mkuu wa mafisadi!! Tumbo lako linakuongoza nani umpe kura yako ; sisi wengine tunaongozwa na mapenzi kwa nchi yetu na maslahi ya wajukuu zetu sisi tutampa DR. Slaa kura zetu kwani anatetea maslahi yetu. Nakutakia upigaji kura wa amani wewe na wapambe wa mafisadi wenzio!! Chonde chonde msitufanyie fujo muondoke ikulu kwa heshima na taadhima.
 
kumwaga damu ni kumwaga damu tu, haijalishi umetumia panga, bunduki, au jiwe (kama maswa)
well said, kama musoma, arusha, tarime, mwswa, mwanza, iringa nk... kumwaga damu haina maana mpaka mtu afe dnio iwe imemwagwa

God bless our country and i wish ya'all peaceful election.... tumsaidie yeyote atakayeshinda na tujenge tanzania mpya
 
Acid,

Nafurahi umeandika

...mahojiano yalikosa bashasha hasa kutokana na "choreographed" questions plans...


Huu ndio uliokuwa MSINGI wa mahojiano hayo, na wala HAUKUWA MDAHALO!

Wamechemka!

-> Mwana wa Haki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom