Elections 2010 Congrats JK.... Umeweza Mdahalo/Mahojiano

Sikuamini kama Kikwete na CCM wanaweza wakajianika wazi na kuwamfanya kila mtanzania awaone ni watupu.

Hivi kweli inawezekana ukasema eti ni mdahalo wakati umeandaliwa maswali na ukapewa majibu yake tena bila aibu unakuwa na DESA ama kweli kikwete ni Kilaza.

Wauliza maswali wote walikuwa wameandaliwa sijawahi kuona.

Nikuwa nataka kumpa kura sasa simpi ng'o
 
Then i didn't miss a thing....kwa miaka mitano sijawahi kushawishiwa na uongozi wa jk, asingeweza kunishawishi kwa masaa mawili.
 
Washiriki na waalikwa uliwaona???? umri wao je?? uelewa wao je? ooohooooooo.wengine walisinzia kwa uchovu wa umri wengine wanapiga makofi hata pale alipochemsha oohooo baraaaaaaa.Ni mchanganyiko wa watu ambao hawahitaji mabadiliko ni wale wanaosubiri tani saba, wengine wanaogopa mabadiliko kwa makosa yao si uliwaona????? tena wengine hata kwenye majukwaa walishastaafu lakini walionekana.OGOPA SANAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jk uwezo wake kufikiri ni MDOGO sana, na PIA INABIDI ADESE ili ajibu swali lolote, yaani NI AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Jana wadau nilimuona jk akimfunika vibaya dk slaa. hasa kuzungumzia mambo ya elimu na afya.
tofauti na dk slaa. Jk alikuwa mtulivu. mwenye takwimu halisi, mwenye mchanganuo na mwenye nia nzuri ya kuinua elimu
Heko JK. ndio tegemeo la wanyonge


Takwimu gani na mchanganuo gani, mtu mbumbumbu ndo anaweza sema hayo. lakini mtu makini mwelewa wa mambo hawezi sema hayo. Ajira ya kufungua vizibo vya chupa.
 
Funny enough kwenye concluding remarks wala hajaomba kura wala kukiombea chama chake! One might think he didn't care, lakini the fact is ni mtupu kiasi kwamba hata alisahau why he was there!

huyo jamaa ana kiburi sana. I wish...................
 
wauliza maswali wanapaswa kututaka radhi watz, hakuna walilouliza la maana, hawana hata haya mambo ni mengi ya kitaifa wanauliza vitu vya kitoto ndo maana watz hatuendelei kwenye nyanja mbalimbali hasa uandishi na utangazaji kutokana na waandishi kama hao wa jana.

m/kiti naye wa kipindi hana kitu kichwani bali kitambaa alichofunga. kweli jk akipita bac tena watz tumeumia, tutauzwa.
 
Haikuwa hata Q&A. Ni maswali yaliyopangwa ili jamaa apate sababu ya kutoa hotuba.

Takriban kila swali moja alitumia 15 min. Ktk hali ya kawaida ya mgombea angehitaji kueleza mambo mengi kwa muda aliopewa ili aweze kushawishi watu wengi zaidi. lakini nadhani ilibidi watu wabaki pale walipopangiwa kuuliza.

Balaa ilikuwa ni jibu la kuibiwa kura. Badala ya kuwa na concern, yeye kama mugombea, alijibu kwa kutetea kama mwenyekiti wa tume ya uchaguzi! Hahaaa! taabu tunayo. Huko nje huwa anajibu vitu gani??
 
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?

Kigugumizi always huwa ni ishara kwamba hujui ulisemalo au upo unafikiria faster uongo gani useme when cornered!
 
wauliza maswali wanapaswa kututaka radhi watz, hakuna walilouliza la maana, hawana hata haya mambo ni mengi ya kitaifa wanauliza vitu vya kitoto ndo maana watz hatuendelei kwenye nyanja mbalimbali hasa uandishi na utangazaji kutokana na waandishi kama hao wa jana.

Ndo maana Mkapa alikuwa anawaita hawa ni ''wavivu wa kufikiri''. Pia alikuwa anajiandalia hotuba zake.

Hata kama ni njaa, that was below too low.
 
KIKWETE, once a hero now completely devastated. What if he was engaged in a 'mdahalo' - squeezed between Dr and Prof?
 
Ndo maana Mkapa alikuwa anawaita hawa ni ''wavivu wa kufikiri''. Pia alikuwa anajiandalia hotuba zake.

Hata kama ni njaa, that was below too low.

Yes I see why Mkapa aliwaona makapi tu the so called senior journalists of Tanzanian media! Upupu mtupu
 
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?

mkuu sio kigugumizi ana kabisa hizo ni hofu za kushindwa mkuu zinaonyesha usoni zipo wazi kabisa mkuu
 
Nilivyomwona jana seriously speaking kama akipita ata kwa kuchakachuliwa kura sidhani kama atafika 2015 amedhoofika mno anacheka cheka kujipa moyo
 
JK+akiongea+katika+mkutano+wake+na+waandishi+usiku+wa+kuamkia+leo+ukumbi+wa+Anatouglou+jijini+Dar.jpg


Full madesa na furniture zetu za Ikulu....kwanini anatumia assets zetu kwa kampeni zake?
 
Makamba alishakataza midaharo but jana nilimwona kwenye the so called midaharo
 
duu, JK ni mmoja wa watu wenye bahati sana duniani, amebahatika kuwa rais wa nchi for nothing, tumtakie mapumziko mema baada ya kukabidhi ofisi kwa Dr Slaa,
 
kwakweli siasa ni kitu very funny... sikutegemea kama JK angesema kuna mgombea amesema anataka kumwaga damu... huu ni uzushi wa hali ya juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom