Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,420
- 2,271
Interesting... Wishing you all the best!nipo kamanda ila nilikuwa kikampeni zaidi huko nasa, lamadi, ushirombo, igangabilili na kwingineko
Interesting... Wishing you all the best!nipo kamanda ila nilikuwa kikampeni zaidi huko nasa, lamadi, ushirombo, igangabilili na kwingineko
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?
agreed NN.... what the fcuk... tumelazimishwa kuamini hivyo.. ile ya slaa na hii ya jkHivi kwa nini hizi question and answer sessions zinaitwa "mdahalo"? What ze fcuk
kwa wenye kusumbuliwa na kigugumizi mara nyingi huongezeka wakiwa wamechoka, wakiwa na stress au wakiwa wanaumwa.
JK anasababu zote za kumfanya kigugumizi chake kiongezeke (kama anacho kikawaida)
kaka... mimi si mtalam sana wa afya but stammering may mean many things ranging from lying, sickness to just stressMimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?
Nlikuwa najua u mtaalam wa lugha tu. Kumbe hata kwenye mambo haya u mjuvi namna hii?.
Ahsante mwalimu. Chagua Slaa kwa maendeleo ya Taifa.
kaka... mimi si mtalam sana wa afya but stammering may mean many things ranging from lying, sickness to just stress
umeanza rafiki... nina siku tano sijanywa nimefunga kuombea uchaguzi....May be... kheeee kheeee heeeee!
Bia za asubuhi na keyboard ni matatizo tu!
hiyo sayansi ya kigugumizi inapatikana kwenye mafunzo ya lugha .......usitaharuk!
Kupiga kura ni wajibu wa kila raia........kapige kura yako
Jamani kwa mtu, mwenye akili akikaa chini akatafakari kilicho ongelewa jana, na uhakika hawezi kumpa kura JK, kwa sababu zifuatazo.
1. Hakuwa na hoja za msingi
2. Pamoja na maswali yakupandikizwa bado ameshindwa kuyatetea ipasavyo,
3. Amedhihirisha kutokuwa na ujasiri hata wakutetea wananchi wa tanzania,
4. Hana data kamili na ameonyesha kutokuwa makini katika mipango ya kuendeleza taifa hili,
5. Mambo yaliyokuwa na umuhmu ye alikuwa akiya beza kwa vicheko na kejeli,
kwa mimi nasema wazi, huyu jamaa simpi kura yangu.
Yeah! Hujambo lakini? Umejiandikisha kupiga kura? Hebu ongea na Smiles aturudishie ile kitu yetu. JF bila..... HAIWEZEKANI!:nono::nono::nono::nono:
Acid
kabla ya yote nafikiri ungeweka maana ya neno 'mdahalo' wazi.
Nilitegemea mwalimu wangu ungekuwa wa kwanza kunielewesha kuhusu hili....Kumbe na wewe haipandi.
Anyway, hata kama sijui maana kamili ya mdahalo, ule wa jana, kwa uelewa wangu mdogo, SI mdahalo. Yalikuwa ni maswali marahisi kiwa Raisi, tena ya kupangwa, ambayo hata binti yangu matesha angeulizwa angeyajibu kwa ufasaha na kujizolea maujiko.
Wauliza maswali wote kama uliangalia kwa makini walitoka kwenye vyombo vya habari vyenye maslahi ya CCM....Hata Kibonde naye aliuliza. Sikuwa najua kama Kibonde naye ni MWANDISHI wa habari....Nilijua jana.