Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #121
sawa mdogo wanguAnayeweza kujisahau ni yule ambaye hajipendi...kama unajipenda mwenyewe sidhani kama unaweza kujisahau.
sawa mdogo wanguAnayeweza kujisahau ni yule ambaye hajipendi...kama unajipenda mwenyewe sidhani kama unaweza kujisahau.
hapo kwa font kubwa ngoja wakaka waje wajibu, lol!
ni vizuri kama unafahamu tabia mbaya ya rafiki yako ukajitahidi kumrekebisha, ila kama itashindikana na unaweza kuivumilia akiwa naye na haiingiliani na mambo yako, mi nadhani poa tu
mtani unanitega sasa....Shoga.....God forbid, siwezi!
Kuna viwango vya uvumilivu wa tabia fulani fulani lakini ikwa too much (kwa mtazamo wa mtu binafsi) kaa mbali.
Nikuulize, vipi Mume wako akiwa na rafiki jambazi na muuaji na ambaye anaishi kwa mashaka makubwa. Na mara mojamoja akitoka "chimbo" anakuja pia kukusalimia nyumbani (shemeji) na kutoka na Mumeo kupata moja moto moja baridi!
Shoga.....God forbid, siwezi!
Kuna viwango vya uvumilivu wa tabia fulani fulani lakini ikwa too much (kwa mtazamo wa mtu binafsi) kaa mbali.
Nikuulize, vipi Mume wako akiwa na rafiki jambazi na muuaji na ambaye anaishi kwa mashaka makubwa. Na mara mojamoja akitoka "chimbo" anakuja pia kukusalimia nyumbani (shemeji) na kutoka na Mumeo kupata moja moto moja baridi!
Umeona eeeh Rutta?platozoom kuna tabia mabazo zinaweza sababisha urafiki ukavunjika ni ikiwemo ushoga kwakweli hili halivumiliki kabisa!
Daaaaa
Hila hilo swali linaweza la mwisho linaweza likawa gumu kwa @FP
mtani unanitega sasa....
hiyo ni extreme, lol!
Itakuwa kila akija nyumbani nawaita watoto kuwa umefika muda wa kusali, hata kama ni saa saba mchana, lol!
yaani nilipoliona hilo swali ikabidi nikemee kwanza kama mwenyewe alivyosema God Forbid na iwe hivyo....Hahahahahahaha
hapa nilijua patakuwa pagumu sana, ina hitaji moyo wa ujasiri kwa kweli!
Umeona eeeh Rutta?
ndo maana na mimi nimemjibu kiaina tu maana nimeona kabisa huu ni mtego
mtani unanitega sasa....
hiyo ni extreme, lol!
Itakuwa kila akija nyumbani nawaita watoto kuwa umefika muda wa kusali, hata kama ni saa saba mchana, lol!
nakubaliana na wewe kabisa hapo kwenye usiri.Hapa ni pagumu zaidi unapo kuwa umegundua bila kuambiwa na mumeo, lazima ushindwe pa kuanzia, aisee hiyo ya ujambazi ni ngumu sana na wanapenda siri sana! Sasa wanapo gundua mtu mwingine kajua hua ni hatari bora kukaa kimya!
hiyo ya kunywa chimpumu?Ndio hivyo hivyo na sisi wengine tunapata ugumu kwenye tabia fulani fulani.
Ukivumilia itaonekana (hata kwa nafsi yako) Una-entertain hizo tabia.
Ngoja nikanywe chimpumu lol! unapenda hiyo tabia!!
nakubaliana na wewe kabisa hapo kwenye usiri.
kuna kaka mmoja alitusoea sana maeneo fulani tulikuwa tumehamia. wenyewe ndo tumeoana tu hatuna watoto tunaishi peke yetu, tulikuwa tunatoka sana usiku ndo tukazoeana na huyo kaka akawa rafiki yetu.
Kumbe yule kaka ni jambazi, sisi hatujua.
kuna kipindi akauawa pamoja na marafiki zake, yaani ndo tukajua kumbe yule kaka alikuwa jambazi
ndo hapo sasa, ila inaniudhi sana tabia ya mmoja kupewa na mwingine.Sio lazima marafiki mfanane kwa kila kitu, mnaweza kutofautiana jambo moja au mawili but mkamatch kwenye mambo nane au tisa...lakini watu siku zote husema samaki mmoja akioza ni wote, kama marafiki/rafiki yako wa karibu ana tabia fulani ambazo ni mbaya wote(including wewe usie na hizo tabia) utaonekana ni wale wale japokua sio kweli. Hii ni aina flani ya kufikiri kwa mazoea bila kutafuta ukweli ulipo!
na mimi nakuambia kama mtu unatabia fulani ambayo ni mbaya, watu wa mwisho kujua ni wale wa karibu na wewe...Hapa ndio urafiki mwingine unakuwa mgumu! Yani we unakuwa mtu wa kuficha siri tuu na kukosa amani.
Na huyo angeweza kuwatia matatizoni kama ange kamatwa akiwa hai!
Rafiki skiza hii hadithi.hapo sasa ni kazi yangu kama rafiki kuongea naye kwa mambo anayoyafanya.... siyo kumkimbia
na mimi nakuambia kama mtu unatabia fulani ambayo ni mbaya, watu wa mwisho kujua ni wale wa karibu na wewe...
ukiwa nao unajitahidi wakuamini na wasikufikirie kabisa ndivyo sivyo.
niliyemuonea huruma zaidi ni mke wa huyo jamaa, maana kiukweli kabisa hakuwa anajua. na kwa sababu maiti zao ziliharibika sana yule mke alikuja kutambua tu sababu ya nguo alizovaa siku "anasafiri"
Rafiki skiza hii hadithi.
Baba mmoja alikuwa akisafiri kwa punda akiwa na mwanae.
Akampandisha mwanae yeye akatembea kwa miguu, watu wakasema anamdekeza mtoto
Akaamua kumpanda punda mtoto atembee, wakasema anamdekeza mtoto
Akaamua kupanda yeye na mtoto, wakasema anamfanyia punda ukatili,
Akaamua yeye na mwanae watembee bila kupanda punda, watu wakasema hajui matumizi ya punda.
MORAL: Ishi maisha yako, maana hata ufanyeje huwezi kumridhisha kila mtu.