hii ni according to summary ya matukio ya Yesu kwenye Biblia au ulikuwa unajua miaka yote 30 aliyoishi duniani alikuwa anaambatana au kukutana na nani?Yesu hakuwa rafiki watenda dhambi kwa muda mrefu zaidi ya kuwakaribisha ili wabadirike.
Ndo maana ukawa mdogo wangu, lol!Naam dada yangu FP umeuliza swali zuri sana na ntalijibu kama ifuatavyo kulingana na mtazamo wangu. Katika maisha mimi huwa naamini kuwa everything happens for a reason na kila binadamu amepewa hekima ya kutambua jema na baya lakini tatizo linakuja katika kuchagua jambo lifaalo kati ya jema na baya na hapo ndipo watu wengi tunapo angukia pua kwani wengi hufanya makosa kwa kufanya uchaguzi usio sahihi na at the end huishia kutoa lawama na visingizio vya ajabu ajabu.
Kuambatana na marafiki wenye tabia mbaya hakuwezi kukusababishia na wewe uige tabia mbaya kwa sababu wewe ndio maamuzi ya kuchagua kuiga au kutokuiga tabia hiyo mbaya hata kama ukishurutishwa kwa kuwekewa mtutu usoni. Hizo sababu nyingine tunazozitoa eti flani alinishawishi au eti...flani ndio alinifanya nikaiga hivi ni visingizio tu kwa sababu hakuna aliyenyimwa hekima ya kutambua jema na baya.
Nadhani kwa maelezo yangu hapo juu nitakuwa nimejibu vyema swali lako...embu tuangalie wadau wengine tuone nao wana lipi la kusema kuhusu hili.
Yesu hakuwa rafiki watenda dhambi kwa muda mrefu zaidi ya kuwakaribisha ili wabadirike.
Haya bwana mkubwa. Mh. Mwai alihutubia Kiswahili na Mh. Membe akahutubia Kiingilishi!That's what I call a "holier than thou" outlook.
Jamani tumesalimika ndugu zangu?
Nina hili jambo huwa naliwaza sana na labda sielewi kwa nini watu wengi wana mtazamo tofauti na ninavyoamini mimi...
Ni hili swala la marafiki wa kuambatana nao (hapa naongelea marafiki wa kawaida tu na siyo wapenzi).
Watu wengi wanasisitiza sana watu wasiambatane na marafiki wenye tabia "mbaya" kwa sababu wanazozijua wao. na hili limenichanganya zaidi baada ya kulisikia jana kwa mtu ambaye sikutegemea angewaza hivi.
Mimi naamini unaweza kuwa na marafiki wenye hizo tabia na wewe usiwe/usiige hizo tabia zao.
Labda mimi sielewi mtu mzima unawezaje kuwa influenced na tabia ya mtu mwingine ambayo unaona siyo nzuri?
NOTE: HII NAONGELEA WATU WAZIMA AMBAO WANAJUA KUTOFAUTISHA JEMA NA BAYA, TUSIHUSISHE WATOTO KATIKA MJADALA HUU
Ndo maana ukawa mdogo wangu, lol!
salama lakini? umepotea sana mdogo wangu
Haya bwana mkubwa. Mh. Mwai alihutubia Kiswahili na Mh. Membe akahutubia Kiingilishi!
mimi pia naamini hivi, ila ndo tunasema mawazo yanatofautianaFP kwangu mimi na ona ni tofauti kabisa kwanza si kweli ukiwa na rafiki mwenye tabia fulani lazima na wewe huwe na tabia kama yake, kuna huwezekano mkubwa mtu akawa na tabia tofauti na marafiki zake, mimi binafsi nina marafiki wenye tabia tofauti na zangu lakini kinacho fanyika ni kurekebishana na kujaribu kupeana ushauri!
Hili la ndege wafananao huruka pamoja linaweza lika tumika sana kwa watu ambao hawaja panuka kifikra( watoto) na ndio maana tunaona wengi wao huigana tabia na ukiwakuta marafiki lazima tabia zina fanana kabisa lakini ni tofauti kwa watu wazima!
mimi mzima kabisa mdogo wangu...Salama dada...mie mzima wa afya...pilika pilika za maisha ndio zimenifanya niadimike humu ndani. Mzima wewe lakini?
Kiinglishi si Kiswahili.
mimi mzima kabisa mdogo wangu...
angalia usijiue sana kwenye hizo pilika, sawa?
hapo kwa font kubwa ngoja wakaka waje wajibu, lol!Kumbe bado inaendelea........!
Hivi ni uchaguzi wa mtu kuwa na rafiki wa tabia fulani ? Au urafiki ndio unaongoza na tabia ya mtu sio muhimu?
Kwa mfano nina rafiki ambaye anapenda dhuluma ingawa siipendi tabia hiyo siwezi kumbadili japo nilijaribu, tena ukizingatia tofauti zetu za umri nimekwama. Anyway hilo nimelivumilia na nayatazama yale mengine mazuri.
Lakini nilicho na hakika ni kwamba siwezi kuwa na rafiki ambaye ni shoga (gay)........Hata kama tuna urafiki mkubwa lakini nikipata hakika ndivyo alivyo hapo ndipo utakapoishia.
Mtu anaweza kusema mshauri abadilike.........Sina ujuzi huo wa kuibadili tabia yake. Na kuna wengine wanasema haina tatizo kama wewe mwenyewe huzishiriki tabia hizo, Nawauliza wanaweza kuhimili kuwa na rafiki shoga na wakamvumilia?
pilika zikizidi sana mwisho unajisahau mwenyeweNijiue kwa lipi tena dada angu?
akijitwalia nyumba ndogo nitaona kaamua tu kuwa na nyumba ndogo...Kiunguru huruka na kunguru!! Na kunguru mweupe haruki na kunguru mweusi!! Kunguru na mwewe hawaruki karibu!! Mara nyingi hata watu wazima wanakuwa influenced na watu wanaokaa sana nao karibu!!!! Wewe ukitaka subiri mumeo akutane na jamaa anayependa nyumba ndogo halafu wawe marafiki wa karibu!!! Mumeo atajeuka kuwa fundi wa vimada!! Amini usiamini ila habari ndiyo hiyo.
pilika zikizidi sana mwisho unajisahau mwenyewe
Heshima mbele, mambo mengine baadaye. Back to the Topic. Jesus lived friendly life to all people including sinners
nilijaribu sana tusiingie kwenye huu upande ingawa mtu aliyenifanya niandike hii mada alikuwa anazungumzia kwenye mtazamo wa kidini.... mimi nikataka tuuangalie kwenye mtazamo wa maisha yetu ya kila siku kwa sababu ninazozijua mwenyewe.Heshima mbele, mambo mengine baadaye. Back to the Topic. Jesus lived friendly life to all people including sinners