Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #161
hapo umenena rafiki......Ili kuwakomesha hao wanaokusema ni wewe kuendeleza tabia njema huku ukijitaidi kwa kadri uwezavyo kuwabadilisha wenzako wenye tabia hiyo isiyo nzuri(yakupendeza)
wakiona wanakusema ila wewe hutetereki na wala hauyafanyi wanayoyasema ni wazi wataazha kuchonga maneno.
hata waseme vipi kuwakomesha wewe baki na tabia yako nzuri, wenyewe wataacha kuchonga