Confusion ya Marafiki, Please help!

Confusion ya Marafiki, Please help!

Rafiki skiza hii hadithi.

Baba mmoja alikuwa akisafiri kwa punda akiwa na mwanae.
Akampandisha mwanae yeye akatembea kwa miguu, watu wakasema anamdekeza mtoto
Akaamua kumpanda punda mtoto atembee, wakasema anamdekeza mtoto
Akaamua kupanda yeye na mtoto, wakasema anamfanyia punda ukatili,
Akaamua yeye na mwanae watembee bila kupanda punda, watu wakasema hajui matumizi ya punda.

MORAL: Ishi maisha yako, maana hata ufanyeje huwezi kumridhisha kila mtu.
asante kwa stori rafiki....
kweli kabisa niishi maisha yangu, maana binadamu bwana hawatabiriki
 
So sad!
Alaf mkewe angeweza kuwa lahumu akidhani mlikuwa mnajua kazi yake! Na hapa marafiki ndipo wana pata lawama maana anaweza kudhani lazima mlikuwa mnafahamu kabisa!

Na ni kawaida ya binadamu huwa tuna jitahidi tuonekane wema kwa watu wetu wa karibu!
angetuonea kama angetulaumu....
mwenyewe alikuwa na rafiki zake nadhani wanaofahamiana shughuli zao, sisi tulikuwa wapita njia tu ingawa wakati mwingine tulikuwa tunakuwa naye vijiwe fulani
 
Kufuata watu ni tabia mbaya!

Kwa nini wewe usifuatwe badala ya kufuata wengine?????
watu wanadhani ukiwa na tabia njema huwezi ku-influence watu wakufwate ila ukiwa na tabia mbaya, lol!
 
asante kwa stori rafiki....
kweli kabisa niishi maisha yangu, maana binadamu bwana hawatabiriki
Mi ni rafiki mzuri sana wa mabaamedi. Watu wakamfuata my wife wakamwambia mmeo hana adabu anakudhalilisha kwa kushikanashikana na wahudumu. Hao watu waliomwambia ni wake wa marafiki zangu.... Wakati wake wa marafiki zangu wakimcheka mai wife maskini hawajui heri yangu mie nayetaniana na wahudumu kuliko waume zao wanaowamega mazima! Mpaka mmoja wa marafiki alipoletewa mtoto nyumbani na kutelekezewa ndipo walipofunguka akili.

Kwa kifupi ni kuwa, Akili za kuambiwa changanya na zako. Sousi: JK

Jamani hata mbayuwayu anawashinda?
 
watu wanadhani ukiwa na tabia njema huwezi ku-influence watu wakufwate ila ukiwa na tabia mbaya, lol!
Wenye afya hawamuhitaji daktari, bali wagonjwa.
Sikuja Kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu: Sousi: Jesus Of Nazareth
 
Mi ni rafiki mzuri sana wa mabaamedi. Watu wakamfuata my wife wakamwambia mmeo hana adabu anakudhalilisha kwa kushikanashikana na wahudumu. Hao watu waliomwambia ni wake wa marafiki zangu.... Wakati wake wa marafiki zangu wakimcheka mai wife maskini hawajui heri yangu mie nayetaniana na wahudumu kuliko waume zao wanaowamega mazima! Mpaka mmoja wa marafiki alipoletewa mtoto nyumbani na kutelekezewa ndipo walipofunguka akili.

Kwa kifupi ni kuwa, Akili za kuambiwa changanya na zako. Sousi: JK

Jamani hata mbayuwayu anawashinda?
eti hata mbayuwayu anawashinda, lol!
hapo pa kupelekewa mtoto mume ambaye anaonekana "ana tabia njema" ndo patamu.
na wewe ungemwambia wife akampe pole mkewe kwa kupigwa changa la macho
 
Rafiki FP
Mimi naona chamsingi ni mtu mwenyewe kujitambua na siyo kuiga kila unaloliona yako mazuri yakuiga na mabaya yakuacha,
ukiwa kama mtu mzima ninaamini utayaiga yale mazuri na kuyaacha yale mabaya. Ila shida inakuja pale ambap mtu anashindwa kumantilisha lipi baya na lipi zuri haswaa kwa kutaka kuonekana na yeye anayajua hayo toka kitambo.

Labda niseme sio kwamba ukiwa na rafiki wenye tabia mbaya na wewe utakuwa na tabia hizo, ila kinacho waponza watu wengi ni uigaji usio walazima.
 
eti hata mbayuwayu anawashinda, lol!
hapo pa kupelekewa mtoto mume ambaye anaonekana "ana tabia njema" ndo patamu.
na wewe ungemwambia wife akampe pole mkewe kwa kupigwa changa la macho
Si unajua tena, mi ni mtu wa upendo? Nikamwambia tu wife kuwa yule jamaa ilikuwa bahati mbaya ila mi na mabaamedi ni tabia yangu. Na yeye akachanganya na zake.....:nono::nono:
 
Rafiki FP
Mimi naona chamsingi ni mtu mwenyewe kujitambua na siyo kuiga kila unaloliona yako mazuri yakuiga na mabaya yakuacha,
ukiwa kama mtu mzima ninaamini utayaiga yale mazuri na kuyaacha yale mabaya. Ila shida inakuja pale ambap mtu anashindwa kumantilisha lipi baya na lipi zuri haswaa kwa kutaka kuonekana na yeye anayajua hayo toka kitambo.

Labda niseme sio kwamba ukiwa na rafiki wenye tabia mbaya na wewe utakuwa na tabia hizo, ila kinacho waponza watu wengi ni uigaji usio walazima.
hapo kwenye uigaji hapo.....
inawezekana kabisa wewe hujaiga na wala huna mpango wa kuiga tabia hiyo mbaya, lakini watu kwa vile wanakuona unaambatana na huyo wanayedhani ana tabia mbaya wanajiamulia tu na wewe kukuingiza kwenye sufuria moja
 
Si unajua tena, mi ni mtu wa upendo? Nikamwambia tu wife kuwa yule jamaa ilikuwa bahati mbaya ila mi na mabaamedi ni tabia yangu. Na yeye akachanganya na zake.....:nono::nono:
ha haaa, rafiki naona ulijisemesha ili u-gain confidence, lol!
ila kweli mkwe una upendo sana, naongelea ule wa AGAPE
 
Kama siyo kukutana na huyu malkia mama Matesha wangu, hivi sasa labda ningekuwa Paroko Ambrozi wa shirika la Damu Takatifu.
he he heeeee, ndo mnavyotudanganya, lol!
usingekutana na huyo angetokea malkia mwingine ambaye angefanya usiwe paroko.....
By the way, hata walei wanatakiwa waijue na kuishusha hiyo mistari hata kama hawakutamani kuingia kwenye convents. mwulize Elizabeth Dominic na mlongo wangu snowhite kama nasema uongo
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye uigaji hapo.....
inawezekana kabisa wewe hujaiga na wala huna mpango wa kuiga tabia hiyo mbaya, lakini watu kwa vile wanakuona unaambatana na huyo wanayedhani ana tabia mbaya wanajiamulia tu na wewe kukuingiza kwenye sufuria moja

Ili kuwakomesha hao wanaokusema ni wewe kuendeleza tabia njema huku ukijitaidi kwa kadri uwezavyo kuwabadilisha wenzako wenye tabia hiyo isiyo nzuri(yakupendeza)
wakiona wanakusema ila wewe hutetereki na wala hauyafanyi wanayoyasema ni wazi wataazha kuchonga maneno.
 
Jamani tumesalimika ndugu zangu?
Nina hili jambo huwa naliwaza sana na labda sielewi kwa nini watu wengi wana mtazamo tofauti na ninavyoamini mimi...
Ni hili swala la marafiki wa kuambatana nao (hapa naongelea marafiki wa kawaida tu na siyo wapenzi).
Watu wengi wanasisitiza sana watu wasiambatane na marafiki wenye tabia "mbaya" kwa sababu wanazozijua wao. na hili limenichanganya zaidi baada ya kulisikia jana kwa mtu ambaye sikutegemea angewaza hivi.
Mimi naamini unaweza kuwa na marafiki wenye hizo tabia na wewe usiwe/usiige hizo tabia zao.
Labda mimi sielewi mtu mzima unawezaje kuwa influenced na tabia ya mtu mwingine ambayo unaona siyo nzuri?

NOTE: HII NAONGELEA WATU WAZIMA AMBAO WANAJUA KUTOFAUTISHA JEMA NA BAYA, TUSIHUSISHE WATOTO KATIKA MJADALA HUU

.....urafiki una gharama za ki hisia ambazo unawajibika kulipa 'fadhila' ili kudumisha uhusiano wenu.
Kwa kila tabia mbaya ya unayomvumilia rafiki yako, inampasa naye akustahmilie tabia ya kwako mbaya.

mfano;
kama unajua rafiki yako anam cheat mkewe/mumewe, it's most likely nawe una multiple partners, la sivyo
wewe/yeye mmoja wenu anamkuwadia mwenzake.
 
Unajua vitu vikitokea uchukuliwa ndio hivyo kwa watu wote japo kuna ukweli lakini watakao amini kama hizo tabia (mbaya)(nzuri)za rafiki yako wewe hutokuwa nazo au unazo.
Ukweli utabaki kuwa nao mwenyewe uku macho ya walimwenguyakibaki kukutazama
 
Back
Top Bottom