Confirmed: Tcu selection

Confirmed: Tcu selection

Source:
THE CITIZEN: Friday 23 August, 2013:

The Tanzania Commission for Universities (TCU) , has submitted to respective learning institutions names of candidates for verification before they are released by the end of this month.

TCU spokesperson, Mr Edward Mkaku, told The Citizen that the names would be verified by the councils of each learning institution before being sent back to the commission by the 25th of this month.

It was earlier reported that a total of 39,140 candidates had applied to join higher learning institutions in different programmes this year, but TCU confirmed that over 8,000 applicants will miss out. "After receiving the names... We will call a joint selection meeting," he said.
 
mapritenda wakubwa hao tcu, third round mwisho 30aug, alafu approval 25aug, does it bring sense? Itakuwaje kwa watakaoapply 30aug? Let us be great thinkers, this is a drama and tcu are acting untittled movie.
Chambua mada kwa umakini...je unahisi wale 8000 ni akina nani...je ni lini tcu walitoa authorised info ambazo at last walishindwa ku-fulfil...je tcu wakitoa taarifa za uongo kuhusu selexn wanafaidika nn....
 
Aseee wabongo hamsaidiki...unapewa updated infomations at the right time still unaleta ligi...aya wewe tupe bas tarehe zako zenye usahihi....

sio ligi kaka, popote napoona na kusikia neno 'tcu' hasira inanishika sana, leo huwezi kuwatofautisha tcu na wanasiasa. Eti kwa hali hii elimu yetu ipande? Ndoto za mchana hizo! Rwanda wakitwambia ukweli tunachukia!. Kwahali hii sitashangaa ntakaposikia chuo mwezi wa kwanza. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Tcu, Mungu tubariki Yatima wa Tcu.
 
Tusichanganyane hapa, vyuo vingine vimeshatoa majina hii imekaa vipi wadau?
hebu tutulize akili tutafakari haya matukio,mi binafsi niko confused

Ukiangalia kwa umakin hivyo vyuo ni vile vyenye kupokea idad ndog ya wanafunz so ni rahis kwao kukagua list waliyotumiwa na kuirejesha tcu kisha kupata kibali cha kutangaza selexn zao tofauti na vyuo vingine ambavy vnapokea wanafunz weng...so tuwangojee wamalize by the end of august tuulizane kuhus ufasaha wa tcu
 
Chambua mada kwa umakini...je unahisi wale 8000 ni akina nani...je ni lini tcu walitoa authorised info ambazo at last walishindwa ku-fulfil...je tcu wakitoa taarifa za uongo kuhusu selexn wanafaidika nn....

kwakuwa mi ni Finder boy, i always find the truth, muda si mrefu nakupa details (info) ambazo tcu walishindwa, wameshindwa na watashindwa kuzifulfil. Angalizo husiniulize nimezipata wapi maana zingine ni wazi zilichapishwa kwenye web yao na zingine ni siri ya watendaji wa tcu.
 
Hawa tcu vp.Mbona hawaeleweki?Hiyo idadi inatoka wapi ya 8,000.Au wanapungua kufikisha idadi ya wanaohitajika.Kama sasa walioomba ni 39,140 afu kati ya hawa 8000 watakosa.Nini maana ya kusema waombe tena 3 round.???TCU sijawaelewa.
 
Ukiangalia kwa umakin hivyo vyuo ni vile vyenye kupokea idad ndog ya wanafunz so ni rahis kwao kukagua list waliyotumiwa na kuirejesha tcu kisha kupata kibali cha kutangaza selexn zao tofauti na vyuo vingine ambavy vnapokea wanafunz weng...so tuwangojee wamalize by the end of august tuulizane kuhus ufasaha wa tcu

mi naona hawa jamaa wanafanya kazi kwa kujiskia sana,halafu hawajali wanaowafanyia kazi wako katika hali gani.Kitendo cha kila mfanyakazi wa tcu kuwa anatoa habari kwenye magazeti mara huyu mara yule kinatia mashaka ya ufanisi wao wakati wanayo OFFICIAL WEB, ambayo wanaweza kusema selection tutatoa kuanzia tarehe flani.nawaona wapuuzi tu
 
Swali langu je hawa watu 8000 wataokosa vyuo! Watatoka kwenye 1st round, 2nd round, 3rd round selection! Na je vp kuhusu vile chuo ambavyo vimeshatoa majina ya wanachuo wakee?
Nilivyokuwa naelewa mm; 1st selection ilivyofanyika wenye sifa ya kupata course husika walizoomba walipata na majina yakatumwa vyuoni, waliokosa/walikataliwa na vyuo majina yakarudishwa ili wajaze 2nd round then nao waliopata majina yakatumwa chuoni i.e ndo maana chuo kama jordan kilishatoa majina yake ya wote waliochaguliwa 1&2 round! Kama kawaida waliokosa/waliokataliwa na vyuo husika awamu ya pili ndo wamepewa chance ya kujaza awamu ya tatu!! Swali je mbona wanaojazaa awamu ya tatu ni wachache(1922) kuliko wanaokisiwa kuwa watakosa vyuo (8000).! Hapo ndipo naposhindwa kuelewaa, naomba kueleweshwa..!
 
Labda 800 ndo watakosa lakini sio 8000 huyo mwandishi alijichanganya kuandika hivyo.
 
Hawa tcu vp.Mbona hawaeleweki?Hiyo idadi inatoka wapi ya 8,000.Au wanapungua kufikisha idadi ya wanaohitajika.Kama sasa walioomba ni 39,140 afu kati ya hawa 8000 watakosa.Nini maana ya kusema waombe tena 3 round.???TCU sijawaelewa.

ww kama mm cjawaelewa hawa watu! Nini maana 1st 2nd 3rd round(selection)!?
 
Swali langu je hawa watu 8000 wataokosa vyuo! Watatoka kwenye 1st round, 2nd round, 3rd round selection! Na je vp kuhusu vile chuo ambavyo vimeshatoa majina ya wanachuo wakee?
Nilivyokuwa naelewa mm; 1st selection ilivyofanyika wenye sifa ya kupata course husika walizoomba walipata na majina yakatumwa vyuoni, waliokosa/walikataliwa na vyuo majina yakarudishwa ili wajaze 2nd round then nao waliopata majina yakatumwa chuoni i.e ndo maana chuo kama jordan kilishatoa majina yake ya wote waliochaguliwa 1&2 round! Kama kawaida waliokosa/waliokataliwa na vyuo husika awamu ya pili ndo wamepewa chance ya kujaza awamu ya tatu!! Swali je mbona wanaojazaa awamu ya tatu ni wachache(1922) kuliko wanaokisiwa kuwa watakosa vyuo (8000).! Hapo ndipo naposhindwa kuelewaa, naomba kueleweshwa..!

hizi newz ni very flabbergasting, when you think kwa kina hupati majibu kirahisi
 
Swali langu je hawa watu 8000 wataokosa vyuo! Watatoka kwenye 1st round, 2nd round, 3rd round selection! Na je vp kuhusu vile chuo ambavyo vimeshatoa majina ya wanachuo wakee?
Nilivyokuwa naelewa mm; 1st selection ilivyofanyika wenye sifa ya kupata course husika walizoomba walipata na majina yakatumwa vyuoni, waliokosa/walikataliwa na vyuo majina yakarudishwa ili wajaze 2nd round then nao waliopata majina yakatumwa chuoni i.e ndo maana chuo kama jordan kilishatoa majina yake ya wote waliochaguliwa 1&2 round! Kama kawaida waliokosa/waliokataliwa na vyuo husika awamu ya pili ndo wamepewa chance ya kujaza awamu ya tatu!! Swali je mbona wanaojazaa awamu ya tatu ni wachache(1922) kuliko wanaokisiwa kuwa watakosa vyuo (8000).! Hapo ndipo naposhindwa kuelewaa, naomba kueleweshwa..!

msubiri Mbwiga88 atakuja kukuelewesha pia kuna huyu jamaa Xir jyerphy.
(tumwombee ticha Nzuki kaka anaumwa sana)
 
mi naona hawa jamaa wanafanya kazi kwa kujiskia sana,halafu hawajali wanaowafanyia kazi wako katika hali gani.Kitendo cha kila mfanyakazi wa tcu kuwa anatoa habari kwenye magazeti mara huyu mara yule kinatia mashaka ya ufanisi wao wakati wanayo OFFICIAL WEB, ambayo wanaweza kusema selection tutatoa kuanzia tarehe flani.nawaona wapuuzi tu

Sasa wakitoa kilakitu kupitia web yao je masunga magebu manyilizu aliyeko maswa vijijini atapata wap hizo info
 
Back
Top Bottom