ALLAN MMBANDO
New Member
- Jul 30, 2013
- 3
- 0
Wadau,
TCU selection kwa vyuo vyote itatoka baada ya 25 mwezi huu, maana kwa sasa majina ya waliochaguliwa yamepelekwa kwa vyuo husika ili wayapitie, then watayarudisha majina hayo kwa TCU tarehe 25 mwezi huu, na TCU watafanya final approval na kuyatangaza mwisho wa mwezi huu.
Chanzo: Gazeti la Citizen la leo. TCU to release list of successful candidates soon - National - thecitizen.co.tz
Afadhali coz nayangoja kwa ham kwel