chatts55
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 600
- 97
Aseee upo nchi gan wewe kama ni TZ bas ultoka kjijin kwen 1980
nipo kinywang'anga,huo mwaka sikuwepo rafiki.
Aseee upo nchi gan wewe kama ni TZ bas ultoka kjijin kwen 1980
Wadau,
TCU selection kwa vyuo vyote itatoka baada ya 25 mwezi huu, maana kwa sasa majina ya waliochaguliwa yamepelekwa kwa vyuo husika ili wayapitie, then watayarudisha majina hayo kwa TCU tarehe 25 mwezi huu, na TCU watafanya final approval na kuyatangaza mwisho wa mwezi huu.
Chanzo: Gazeti la Citizen la leo. TCU to release list of successful candidates soon - National - thecitizen.co.tz
kumbe ww ni bwegee kila thread kazi yako kubishana na watu.! unajifanya unajua kumbe kichwa chako unafugia nywelee na ndevuu, badilika bila hivyo utapakatwaaa mjini hapaaa kilazaaa wewee! Lete fact watu tukuelewe, hiyo habari imechanganyaa watu wengi humu jf watu wana maswali kuhucu hio habarii, ---- ww unaboa!!
WEWE NDIO ULIKUA KANEMBWA JKT? Mimi ni Tolu Doja. JoSE YUKO WAPI?
kuna uwezekano wale wa airtel yatosha wakakutwa wamebadilishiwa course ktk afficial results za TCU kwani kuna vyuo vitawatema,mfano kuna jamaa alipata III.15pnts kupitia airtel yatosha kakuta amepangiwa UDSM,Mechanical engnearing.Maybe UDSM kwa sasa but kuna kitu ka hicho cha kubadilishiwa course,so wale wa yatosha..........!!!!!!!!!!!!!tetesi
Kama uelewa wako ni kama wa kondoo lazma uchanganyikiwe,,lazm nikuboe kma unataka nkufrahishe panua paja uliwe utam...nyambaf...
wakuu vp zile habar walizozitoa airtel mnazizungumziaje :smile-big:
WAKUU VP ZILE HABAR WALIZOZITOA AIRTEL MNAZIZUNGUMZIAJE :smile-big:
Kama uelewa wako ni kama wa kondoo lazma uchanganyikiwe,,lazm nikuboe kma unataka nkufrahishe panua paja uliwe utam...nyambaf...
sawaa dadaa!
Habar zijaielewa kabxa!
Tolu doja atiii....jose iko jukwaa la mapenz anatafta mke
Hao waliokosa nafasi majina yao ninayo..... 0653459606, nicheki kwa whatsapp nikutumie ndugu!Ni kweli kaka ila wamesema zaidi ya waombaji 8000 watakosa nafasi
Hao waliokosa nafasi majina yao ninayo..... 0653459606, nicheki kwa whatsapp nikutumie ndugu!