Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 57
Ngoja nkalinunue.....ila kiingereza nacho tabu!!
wadau mnafikiliaje kwa hao watu takrabani 80,000 kukosa vyuo....???
Jaman yaan wanafunzi 8000 wanakosa chuo huu xaxa si utata
Jaman yaan wanafunzi 8000 wanakosa chuo huu xaxa si utata
Watu walishapata mpaka joining instructions hasa kwa inservice wengine bado mnasubiria selections.
hawa tcu wala hawaaminiki kabisa, leo wanasema hiki kesho kile, wala mwisho wa kuaaply jun30, july30, aug30, mpaka watasema oct30. Approval kitu gan wakati airtel washavujisha?! Shame upon you tcu.