Mkuu Inv thanks ila matokeo tunayo kabisa tayari wabunge ni Mdee na Mnyika, labda hapo kwenye Urais tu.....
We are waiting
Mkuu Inv thanks ila matokeo tunayo kabisa tayari wabunge ni Mdee na Mnyika, labda hapo kwenye Urais tu.....
Anything can happen mkuu, ni matamanio ya wengi matokeo yawe kama unavyoandika.Mkuu Inv thanks ila matokeo tunayo kabisa tayari wabunge ni Mdee na Mnyika, labda hapo kwenye Urais tu.....
Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa