Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa

KURA:

CHADEMA - 66,743
CCM - 50,544
CUF -12,964
 
Haya mzee twasubiri... Ila navyokuaminia najua "hutuchakachui" kama wengi walivyokuwa wakitufanya jana
 
Mkuu Inv thanks ila matokeo tunayo kabisa tayari wabunge ni Mdee na Mnyika, labda hapo kwenye Urais tu.....
 
Mkuu Inv thanks ila matokeo tunayo kabisa tayari wabunge ni Mdee na Mnyika, labda hapo kwenye Urais tu.....

Mkuu angalia hata Kibaha yule dogo alishinda wamemchakachua CCM wameshinda hata huku mmmmh ngoja tusubili maana kujumlisha tu wametumia siku 2 lolote laweza tokea dk 10 si nyingi yahee
 
Mkuu Inv thanks ila matokeo tunayo kabisa tayari wabunge ni Mdee na Mnyika, labda hapo kwenye Urais tu.....
Anything can happen mkuu, ni matamanio ya wengi matokeo yawe kama unavyoandika.

Wanaweka sawa vinasa sauti na wataenda hewani muda si mrefu
 
Jamani na mbunge wangu Halima atatangazwa saa ngapi? Hapo Ubungo sina shaka kabisa.
 
Kama ni ndani ya dkk 10 unatangaza, then una dakika 5 tu kutamka toke sasa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom