Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa

Mkuu dakika kumi zako ni za kichina ebu tupe matokeo bana.Ila usichakachue tunajua Myika na Mdee ni wabunge vinginevyo patachimbika hapa.
 
Mi presha inapanda presha inashuka dah dk 10 zimekuwa nyingi kweli
 
we Invisible, hizi tabia ndio zimefanya masha na Batilda walazwe kwa presha....si ungesubiri tu majibu yatoke!
 
Mkuu dakika kumi zako ni za kichina ebu tupe matokeo bana.Ila usichakachue tunajua Myika na Mdee ni wabunge vinginevyo patachimbika hapa.

Mkuu baada ya Batilida kudondokea pua naona umeamua kurudi kundini karibu
 
Dkk kumi tayari, mbona kimyaa wananchi tuingie ndani ya ukumbi nini? mkuu tujuze hata neno moja linatosha.
 
Back
Top Bottom