Confirmed: Erickb52 uzalendo umemshinda.

unaona sasa matatizo ya kuchanganya pombe........................ ulidhani unatengeneza makemiko hahaaaaaaa.............. no memory anko
Pole Preta
 
Last edited by a moderator:
nipo sana babu ODM... Me mwenyewe ndo naamka saiv... Nina mning'io mbaya... Sansiro kumbe sio kanisa eti!!!! Mpe hi (invizibo)
Alaaa kumbeeeeeee¡¡¡¡¡¡¡¡¿¿¿¿¿¿
Na aliyekuruhusu kwenda Sansiro bila kibali cha babu alikuwa nani vile?

Afu hivi unajua na kukumbuka kuwa una adhabu ya babu?
 
Na aliyekuruhusu kwenda Sansiro bila kibali cha babu alikuwa nani vile?

Afu hivi unajua na kukumbuka kuwa una adhabu ya babu?

lakini babu we c ndo ulinitelekeza... Yan ulivoondoka na wenzio wakaondoka nikabaki mpweke ndo nkaamua nijilipue sansiro... Kha watu wa dar wabaya mwe sina hamu nao... Bora ningeenda Arachuga
 
Hii inabidi iingine kwenye Guinness world record book, PakaJimmy jitokeze tuone kama mikono imeshuka au bado


Mshiki nakupa angalizo. Maneno mengine hayapaswi kutamkwa asubuhi siku ya Bwana. Ona sasa unanifanya nielekee zangu kaunta kuitii kiu yangu na kulipa kodi ya serekale......

Hivi kesho jumangapi vile??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…