Yaani IGP alipwe yeye alienda kulinda? Hiyo ni rushwaHatua za nini sasa, wao wenyewe wakubaline kulipia ulinzi halafu waseme rfushwa?
Hao wanatufanya waafrika wajinga sana, wao wameshtakiwa wajibu mashtaka yao, siyo kuhamisha magoli.
Hakuna rushwa hapo, wamepewa huduma wamelipia, basi, walitaka wapewe bure?Hatua za nini sasa, wao wenyewe wakubaline kulipia ulinzi halafu waseme rfushwa?
Hao wanatufanya waafrika wajinga sana, wao wameshtakiwa wajibu mashtaka yao, siyo kuhamisha magoli.
Soma habari yote hii haimuhusu Magufuli, ilitokea 2008-2015.Tafadhali Acha kumuaibisha magufuli hii ni skendo kubwa sanaa. Marehemu aachwe apumzike
Huwezi kufahamu mazingira yalomfanya JPM amteue Mwanyika (ambae alikuwa akirekodiwa simu zake na watu wa JPM) maana suala la Acacia lilikuwa ni zito kupita maelezo.Mbona JPM alimsafisha, alimpigia kampeni na kumpa ubunge!! Hii nchi ngumu sana
Hakuna raisi yoyote yule ataefanikiwa kupiga vita ufisadi Tanzania bila kupoteza uhai wake.Hii nchi ya ajabu sana nakumbuka Shujaa Magufuli alilamikia rushwa kwenye chaguzi za CCM hivyo TAKUKURU wakafanya uchunguzi kwa wagombea wanaotoa rushwa. Cha ajabu badala ya TAKUKURU kukamata wahusika eti wanaenda kumkabidhi ripoti mwenyekiti wa CCM!! Yaani makosa ya jinai yanasubiri maamuzi ya mwenyekiti wa chama?
Tokea pale nikajua vita dhidi ya ufisadi ni maigizo tu.
Ulinzi analipwa IGP as an individual au zilitakiwa zilipwe kwenye account ya jeshi la polisi? Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa mfuasi wa Mwamvua na kutokuwa na akili?Hatua za nini sasa, wao wenyewe wakubaline kulipia ulinzi halafu waseme rushwa?
Hao wanatufanya waafrika wajinga sana, wao wameshtakiwa wajibu mashtaka yao, siyo kuhamisha magoli.
Sio Sirro ni Mangu na MwemaDuh huyu IGP anayelipwa ni mzee Sirro? Aise cheo bongo raha sana pesa zinaingia tu bila wewe kujua Tena kwenye account kabisa
Billion 3 kalipwa naniNasikia huko batiki kila member wa task force ya akina mruma alikuwa akilipwa billion 3 na Bado serikali inawalipa mshahara tena.
Niliwaambia jpm hakuwa mzalendo hata kidogo alikuwa fisadi mjanja mjanja tu. Huwezi kufight ufisadi gizani I..e vyombo vya habari umezima, mikutano ya siasa umekataza. Sasa unapambaba na ufisadi au unaiba kimyakimya!!!
Tupe ushahidi wa uyaandikayo, bila ushahidi hii itabaki kuwa ni uzushi na kupakaziana kijinga tu.Nasikia huko batiki kila member wa task force ya akina mruma alikuwa akilipwa billion 3 na Bado serikali inawalipa mshahara tena.
Niliwaambia jpm hakuwa mzalendo hata kidogo alikuwa fisadi mjanja mjanja tu. Huwezi kufight ufisadi gizani I..e vyombo vya habari umezima, mikutano ya siasa umekataza. Sasa unapambaba na ufisadi au unaiba kimyakimya!!!
eti unasikiaa wewe vp huna shuleeNasikia huko batiki kila member wa task force ya akina mruma alikuwa akilipwa billion 3 na Bado serikali inawalipa mshahara tena.
Niliwaambia jpm hakuwa mzalendo hata kidogo alikuwa fisadi mjanja mjanja tu. Huwezi kufight ufisadi gizani I..e vyombo vya habari umezima, mikutano ya siasa umekataza. Sasa unapambaba na ufisadi au unaiba kimyakimya!!!
Kwani IGP siyo jeshi la polisi?Ulinzi analipwa IGP as an individual au zilitakiwa zilipwe kwenye account ya jeshi la polisi? Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa mfuasi wa Mwamvua na kutokuwa na akili?
2008 mpaka 2025 elewaHata magufuli hakuiona hii.? Na hawa jamaa bado wanachimba dhahabu hapa Tanzania. Bado nashauri uchunguzi zaidi ufanyike
Alisema afukui makabuli Bali atadili na yakeAcha uongo huyo Mwanyika alinyooshwa lini?? Mbona alipewa ubunge na JPM!! na sio huyo tu kina Kafumu walichukuliwa hatua gani?