Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,079
12,526
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.

Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania.

====

The concession agreement for 30 years has been signed with the Tanzania Ports Authority​

Adani Ports

Photo: Bloomberg
Marking its third foray into international ports, Adani Ports and Special Economic Zone (APSEZ) will operate and manage Container Terminal 2 at the Dar es Salaam Port, Tanzania, through its subsidiary Adani International Ports Holdings Pte Ltd, the company said on Friday.

The concession agreement for 30 years has been signed with the Tanzania Ports Authority.

Through a joint venture formed with Abu Dhabi Ports Group and East Harbour Terminals Ltd last year, India’s largest port operator has also bought the Hong Kong-based SPV which employs the manpower and equipment at the terminal for $39.5 million.

“East Africa Gateway Ltd (EAGL) has signed a Share Purchase Agreement for the acquisition of a 95 per cent stake in Tanzania International Container Terminal Services Limited (TICTS) from Hutchison Port Holdings Limited (and its affiliate Hutchison Port Investments Limited) and Harbours Investment Limited for a purchase consideration of $39.5 million. TICTS currently owns all the port handling equipment and employs the manpower. Adani will operate CT2 through TICTS,” the company’s statement read.

According to APSEZ, it is a gateway port with a well-connected network of roadways and railways.

“CT2, with four berths, has an annual cargo handling capacity of 1 million TEUs (twenty-foot equivalent units) and managed 0.82 million TEUs of containers in 2023, estimated to be 83 per cent of Tanzania’s total container volumes,” APSEZ said in a statement.

According to APSEZ’s disclosure to stock exchanges, TICTS’ turnover in 2023 was $43.7 million.

EAGL has been incorporated as a joint venture of APSEZ’s international ports arm, AD Ports Group, and East Harbour Terminals Limited, and APSEZ will be the controlling shareholder and will consolidate EAGL on its books.

Hutchison Port Holdings was once the largest port operator in the world and currently operates port assets in over a dozen nations. It had reportedly been running the Tanzanian terminal’s operations for 22 years.

“The signing of the concession for Container Terminal 2 at Dar es Salaam Port is in line with APSEZ’s ambition of becoming one of the largest port operators globally by 2030. We are confident that with our expertise and network in ports and logistics, we will be able to enhance trade volumes and economic cooperation between our ports and East Africa. We will strive to transform Dar es Salaam Port into a world-class port,” said Karan Adani, managing director, APSEZ.

APSEZ already operates an international port in Israel – the Haifa port – and has an under-construction terminal in Sri Lanka. It had also acquired a port in Myanmar, which it eventually had to sell at a $150 million discount amid allegations of contributing to the civil unrest in the country.

Related Threads:

Bilionea kutoka India, 𝗔dani ainunua TICTS kutoka kwa Karamagi na Manek

Kampuni inayomilikiwa na kampuni ya Gautam Adani,imenunua Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Makontena Tanzania (TICTS)
 
Kabakiza kugawa Bagamoyo port, SGR na gas; mengine yote keshauza misitu, mabasi, migodi ilyokuwa reserved na bado anakopa.

Huku wanagawa cash cow assets, halafu huko bungeni wanawaza kodi kwa watu maskini.

Only in Tanzania
So long as vinaleta hasara,vyote vita inafsisha.

Ukitaka toa Kodi Yako wewe ukawalipe salary wasiozalisha.

Mwisho habari ya Adani Port iliripotiwa Toka mwaka 2022 na Mimi mwenyewe nilipandisha mada humu jukwaani
 
Kabakiza kugawa Bagamoyo port, SGR na gas; mengine yote keshauza misitu, mabasi, migodi ilyokuwa reserved na bado anakopa.

Huku wanagawa cash cow assets, halafu huko bungeni wanawaza kodi kwa watu maskini.

Only in Tanzania
Mgodi gani uliokua reserved kauza!?..na hayo yote aliyouza ni yapi!?..halafu mbona wewe na padre kitima hamjajitokeza na waraka,au kisa wahindi na si waarabu?
 
Akili zako zimekwama kufikiriana umekaa kiudini sana. Kwenye mambo muhimu ya hii nchi mnaingiza masuala ya udini. Ktk kupambania hii nchi bila kujali udini ni haki ya kila mtanzania. Anayekosea akosolewe bila kujali udini. Mama samia ni raisi wa watanzania na si raisi wa wakristo wala waislamu, akifanya sivyo watanzania wana haki ya kumkosoa kama kiongozi wao. Mambo ya Padri yanaingiaje hapo? Kwa nini usije na hoja yenye mantiki na iliyojikita kwenye mada husika?. Mtalizamisha hili taifa kwa kutokuwa na maarifa.
 
Mtakaolizamisha ni nyinyi ambao mwekezaji akiwa mwarabu mnapiga kelele mpaka madhabahuni,dowans alikua mwarabu, kelele nyingi,akachukua symbion mkakaa kimya,mwarabu kawekeza kule umasaini,kelele,wazungu wamewekeza buzwagi,bulyanhulu nk hakuna kelele,dp world kuwekeza kelele mpaka kanisani na waraka,adan mhindi kawekeza hapo bandarini hakuna kelele,nani hatumii akili hapo Bali dini!?
 
JPM alikataa bandari ya Bagamoyo na in 3 years alizamisha billioni mbili na zaidi ili kuimarisha bandari ya Dar ifanye kazi Kwa uhakika, na ndio maana SGR ilijengwa ili kupiga Cargo zote za Rwanda, Burundi mpaka Congo na Barabara za kusini zikaimalishwa ili mizigo iingie Malawi,Zambia etc bila shida, sasa kazi yote na capital yote imeenda bure, Leo wanakuja kugawana wapumbavu tuu na mikataba yao isiyoeleweka
 
Sgr Alianza kuhangaika nayo Kikwete na alikubaliana na exim bank china,barabara za kusini zilianza kujengwa awamu ya pili,muwe na facts mnapoongea mambo,haya mbona mpaka anakufa hiyo bandari efficiency yake ni chini!?..bandari ya dar ni uchochoro tu,ndogo Sana,nchi inahitaji bandari kubwa ambapo bagamoyo Kuna wasaa huo
 
Mtakaolizamisha ni nyinyi ambao mwekezaji akiwa mwarabu mnapiga kelele mpaka madhabahuni,dowans alikua mwarabu, kelele nyingi,akachukua symbion mkakaa kimya,mwarabu kawekeza kule umasaini,kelele,wazungu wamewekeza buzwagi,bulyanhulu nk hakuna kelele,dp world kuwekeza kelele mpaka kanisani na waraka,adan mhindi kawekeza hapo bandarini hakuna kelele,nani hatumii akili hapo Bali dini!?
Dah taabu sana. Ok Good luck.
 
Kumbe safari hii hakukua na waraka wala matamko?

:D :D
 
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.

Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania.
=

Bilionea kutoka India, 𝗔dani ainunua TICTS kutoka kwa Karamagi na Manek

Kampuni inayomilikiwa na kampuni ya Gautam Adani,imenunua Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Makontena Tanzania (TICTS)
Nimeelewa sasa kwanini alipewa PhD india
 
Akili zako zimekwama kufikiriana umekaa kiudini sana. Kwenye mambo muhimu ya hii nchi mnaingiza masuala ya udini. Ktk kupambania hii nchi bila kujali udini ni haki ya kila mtanzania. Anayekosea akosolewe bila kujali udini. Mama samia ni raisi wa watanzania na si raisi wa wakristo wala waislamu, akifanya sivyo watanzania wana haki ya kumkosoa kama kiongozi wao. Mambo ya Padri yanaingiaje hapo? Kwa nini usije na hoja yenye mantiki na iliyojikita kwenye mada husika?. Mtalizamisha hili taifa kwa kutokuwa na maarifa.
Mkuu zoea Waislamu, akili zao ziko hivyo. Hawataki uwaseme waarabu, hao ndio wa-Allah wao. Ukigusa waarabu umemgusa Allah na umemgusa mtume wao.
 
Mtakaolizamisha ni nyinyi ambao mwekezaji akiwa mwarabu mnapiga kelele mpaka madhabahuni,dowans alikua mwarabu, kelele nyingi,akachukua symbion mkakaa kimya,mwarabu kawekeza kule umasaini,kelele,wazungu wamewekeza buzwagi,bulyanhulu nk hakuna kelele,dp world kuwekeza kelele mpaka kanisani na waraka,adan mhindi kawekeza hapo bandarini hakuna kelele,nani hatumii akili hapo Bali dini!?
Kama inasema kuwa buzwagi, bulyankulu hapakuwa na kelele, itoshe kusema kuwa wewe ni mdogo kiumri ama mgeni hapa nchini.
 
Back
Top Bottom