Confession: I slept with a chick (Picha)

Confession: I slept with a chick (Picha)

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
7,012
Reaction score
5,613
Kinda cute, sio?
IMG-20130630-00097.jpg
IMG-20130630-00101.jpg
 
Hahahahaha lol! Mwali nimekuja fasta kujua kulikoni!? Kumbe!!!!! lol!!!!
 
Last edited by a moderator:
duh.......... unajielewa mwenyewe nikajua umeamua kuilimwaga umekuwa mkoboaji kumbe....
 
Mwali bana!!! Mie jana nimeLALA na NJAA na sijasema.
 
Is it a chick or not? 🙂

Ni mdori ambao unautafsiri/umeuwakilisha kama ni kifaranga. Kwa mfano ungelala na picha ya mtu or life sized statue ya mtu fulani haina maana umelala na huyo mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom