Confession: I slept with a chick (Picha)

Confession: I slept with a chick (Picha)

nimekuja mbio!!damn

Mwali salamu za zomba ulizipata lakini?
 
Last edited by a moderator:
Ni mdori ambao unautafsiri/umeuwakilisha kama ni kifaranga. Kwa mfano ungelala na picha ya mtu or life sized statue ya mtu fulani haina maana umelala na huyo mtu
It's a figure of speech, METONIMY. Calling a concept or an object by the name of something intimately associated with the concept/thing.
eg: let's have a glass [of beer]
So I used chick kumaanisha mdoli wa chick. (But I guess this explanation kills the fun!)
 
nimekuja mbio!!damn

Mwali salamu za zomba ulizipata lakini?
Nilizipata nikafurahi sanaaaaaa.
Leo niliamkia ofisi ya zomba ku-sign picha yangu for authentication.
Nilikuta kuna wana JF wengine mule, I signed theirs too. :becky:
Wengi wanaweka picha yangu kwenye wallet tuu, hawaweki kutani kama yeye
 
Last edited by a moderator:
mmh nimekuja fasta, macho yamenitoka agggrrr kumbe.......
 
Are you sure...?:becky:
Have you noted that a girl who says she slept with a chick
is likely to face suggestive smiles and mischievous curiosity,
whereas a guy who makes a joke about sleeping with a dude
is more likely kupokea matusi ya nguoni, hata kuombewa ban?
 
Oh yeah...it's more fun watching or fantasizing about two chicks making out than imagining or seeing two hairy dudes swapping spit. Don't you think?
 
mwal;i umenikumbusha mdoli wa bwenini kwetu ulikuwa unaitwa alfonce...alfonce was so lovely jamani!
 
Is that a Chick or a duck?

Ulinitisha kweli nikaona na picha ina download nikajiuliza hii sio ya kwa wakubwa huko?
 
Oh yeah...it's more fun watching or fantasizing about two chicks making out than imagining or seeing two hairy dudes swapping spit. Don't you think?
hahahaha, said that way, you sound right
(but there are other ways of saying it)
 
mwal;i umenikumbusha mdoli wa bwenini kwetu ulikuwa unaitwa alfonce...alfonce was so lovely jamani!
mmmhhh... weka picha, nina mashaka na shape ya Alfonce. hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom