picha zipo home ila kwa kifupi alfonce was tall,black with brown eyes...alikuwa na manyoya kidogo for romantic touch...yaani nikiandika hapa napata uchungu mwali mimi??? ujue mwisho wa alfonce ulikuwa mbaya sana even tho hakudeserve si unajua mti wenye matunda ndo unapigwa mawe dear?mmmhhh... weka picha, nina mashaka na shape ya Alfonce. hahaha
hahahahahaha, did you play often? poleee, usiliepicha zipo home ila kwa kifupi alfonce was tall,black with brown eyes...alikuwa na manyoya kidogo for romantic touch...yaani nikiandika hapa napata uchungu mwali mimi??? ujue mwisho wa alfonce ulikuwa mbaya sana even tho hakudeserve si unajua mti wenye matunda ndo unapigwa mawe dear?
tatizo alfonce alikuwa anapendwa na kila mtu ..alikuwa kimbilio la wengi....hahahahahaha, did you play often? poleee, usilie
hahahahaha, kumbe na wewe niliku-tag? sikutaka uione hii (blushing)
kuna siku ilikuwa graduation ..ya form six basi watu wakaiba pombe kwa wageni huko mmoja sijui mihemko ilimzidia akaenda lab akaiba test tube akambandika alphonce akiwa busy na alphonce akadondoka akavunjika kiuno cause alikuwa analala juu kwenye deka! from that day kila mtu alimchukia alphonce....sikumuona tenaNdio kawaida wa doll zenye mvuto. hahaha
OMG... hahahahahakuna siku ilikuwa graduation ..ya form six basi watu wakaiba pombe kwa wageni huko mmoja sijui mihemko ilimzidia akaenda lab akaiba test tube akambandika alphonce akiwa busy na alphonce akadondoka akavunjika kiuno cause alikuwa analala juu kwenye deka! from that day kila mtu alimchukia alphonce....sikumuona tena
sijakuambia kuhusu jina alphonce ..shule yetu ilikuwa girls tupu kuna kijana alikuwa anauza duka la shule alikuwa anaitwa alphonce alikuwa bonge la hb..kila mtu jicho lilikuwa pale..so kutokana na limited seat available ikabidi watu watafute alponce wengine...OMG... hahahahaha
My "Snowden" is doing a good job.
Vipi, ulistuka?
we mwenyewe snowden kwanza hapo ulipo. I have something to tell you :gossip:
Unakahitaji? Na huu ugeni kamepanda bei ile mbaya.
the Obamas wanaweza kuodoka nae.