computer yangu imekua very slow ghafla naombeni msaada niifanyaje

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
Wapendwa nawasalimi Amani ya Mungu iwe juu yenu.

Naomben mnisaidie kama kuna anayejua juu ya hili, computer yangu sijui kwa nin imekua slow sana.Natumia browser ya fire fox.
Natanguliza shukrani.
 
Slow katika browser pekee au slow katika maana ya mashine yote?

Kama ni katika browsing pekee basi labda tatizo laweza kuwa kwenye internet connection yako -- hebu iangalie; then kuna possibility ya kuwa kuna mdudu 'virus' ameingia -- scan au hujafanya optimization ya OS yako; tafuta (kama huna) optimization software -- Glary etc.
 
Leo hata mimi nime experience hako ka u slowness kwa Fire Fox hususan unapofunguwa JF sijui kwa browser zingine kama wana experience the same. Mtandao ninaotumia ni TiGo.
 
Slow katika browser pekee au slow katika maana ya mashine yote?

Kama ni katika browsing pekee basi labda tatizo laweza kuwa kwenye internet connection yako -- hebu iangalie; then kuna possibility ya kuwa kuna mdudu 'virus' ameingia -- scan au hujafanya optimization ya OS yako; tafuta (kama huna) optimization software -- Glary etc.

thanx mkuu.
nitajaribu kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom