Complicated Marital Status za wana CDM na Urais 2015

Ndoa sio msingi wa uongozi bora,unaweza kuwa kwenye ndoa na bado ukafanya madudu,wangapi leo hii wako kwenye ndoa na bado wanashindwa kufanya maamuzi magumu/sahihi ya ktawala
 
si bora za cdm zinajulikana kuwa hazieleweki,vipi dhaifu ambaye anaoa ila kukicha,na mwenzie ndungai asiye jua hata idadi ya wake zake!
 
Maritually?.......Really?
 
Ameoa mara ngapi?dhaifu?

unataka nizitaje zote kaka,utanitetea kwenye kamati ya ban?ah liwalo na liwe!mmoja yuko zenji,mwingine mtoto wa asas milk,mwingine ni rahma kharous,mwingine mtoto wa meghji,mwingine ni naniii,naniii ana watoto wawili,mwenyekiti mwenza(usiniulize wa wapi we jua tu mwenyekiti mwenza)ana baby boy,jus to mention a few!
 
Kitu kimoja ninachokubali katika katiba ya CDM ni uaminifu wao katika mila na desturi za watanzania na uaminifu wao kwa familia.
Katika katiba za vyama vyote, ni ya CDM peke yao ambayo imeidhinisha wazi uaminifu wao kwa familia kama msingi wa jamii yetu.
Rejea 3.1.5 na 3.1.8

Ila viongozi wengi wa CDM wapo very weak kwenye jambo hili. hakuna chama chenye mabachelor wengi kama CDM, i mean senior bachelors... thats a shame!!
Ndoa kwa watanzania wengi ni ishara ya heshima kwa jamii nzima. ni heshima kwa wanawake na wanaume.
 
:horn:
Mimi bwana hata kama raisi atakuwa bachelor au anandoa, tunahitaji rais ambaye ni dictator mzalendo
 
Botswana ni nchi tunayoisifia kila siku kwa Mendeleo na nidham ya kiuongozi. Did you know Kuwa president wao ni bachela wa mpaka mini tuu!!!
 
ur talking too much between the facts.........by the way sizungumzii kiongozi mmoja mmoja hapa.............massive numer ya viongozi wa CDM hawataki kuoa wala kuolewa..hii ndo point ya msingi...........hujaoa nini?

Acha kumung'unya maneno jibu swali kama nilivyokuuliza usilete sarakasi hii ni issue sensitive sana.
Kumuuliza mkurya kama ameoa ni sawa na kumuuliza mmasai kama ana sime kiunoni!
 
ur talking too much between the facts.........by the way sizungumzii kiongozi mmoja mmoja hapa.............massive numer ya viongozi wa CDM hawataki kuoa wala kuolewa..hii ndo point ya msingi...........hujaoa nini?

hawataki?

Nimejaribu kukuelewa mwanzoni lakini sasa naona hujui unaongea nini.

my honest opinion kwenye uzi huu ni:
WHAT A WASTE.
 
Botswana ni nchi tunayoisifia kila siku kwa Mendeleo na nidham ya kiuongozi. Did you know Kuwa president wao ni bachela wa mpaka mini tuu!!!

Sawa president ni barchelor bt is it right? Should a president whos looked upon by the society and the whole country b single.. I personally dont agree with that.. I believe that our next president should be married n understand what family values mean?... U cant have someone like zitto speakin about family values and hes so single
 
Hii ni ya nne, malizia uende kulala.
 
:horn:

Mimi bwana hata kama raisi atakuwa bachelor au anandoa, tunahitaji rais ambaye ni dictator mzalendo

Chief, heshima kwako. Toka mwaka tarehe 28 ya Julai, 2007, uzi wa leo ndiyo umekutoa pangoni na kuamua kuchangia!!
 
AshaDii, ukisema hivyo utazua mjadala mwingine.
Watakuja watu watasema kama ndiyo hivyo, mchungaji, kasisi na sheikh nao pia wanaweza kuongoza taasisi kubwa ya urais bila shida yoyote. Kwani nao pia wanaongoza taasisi kwa njia ya "kuchunga kondoo" - kondoo hao kama taasisi wanazoziongoza. Tena bila hata ya kujali kama wamo ndani ya ndoa au laa.

Kwa hiyo, kasisi ama sheikh anaweza kuonyesha matumaini ya kuongoza taasisi kubwa ya urais kwa sababu tu anaongoza taasisi kwa kuchunga kondoo?
 
Last edited by a moderator:
Watu kama Belusconi na Sarkozy ni mifano hai ya viongozi waseja au wasio na ndoa walioziangusha nchi zao kutokana kushindwa kuongoza. Kama umeshindwa kuongoza familia 1 utawezaje kuongoza maelfu ya familia; tena zenye midimamo na mirengo tofauti?

Ndoa inaleta utulivu wa hisia nakuleta mchango mkubwa katika fikra na maamuzi.
 
What do you mean too low?

You mean our economy is too low when compared with Botswana's?

Your argument was too low, President of Botswana being single is your party leaders ticket for their dubious marital status?

What has Botswana's economy got to do with marital status of their / your party leaders?

Was Seretse Khama single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?
 
Your argument was too low, President of Botswana being single is your party leaders ticket for their dubious marital status?

First of all, I don't have a party, so take that back. I argue positions based on reason, not party affiliations. If you are a partisan Tanzanian, who cannot see anything outside the prism of party politics, I understand there is a temptation to color everything with the light that passes through that disjointed prism.

I am not into that. I take offense when my arguments are simplified so.

What has Botswana's economy got to do with marital status of their / your party leaders?

The question here is, what has marital status got to do with party leadership or leadership at all?

Stalin was a great family man, but he killed millions of people to the extent that the Russian demographic charts of his time took a toll.

Khama is not married but is ranked highly among African presidents. That shows you if you want leadership, look for leadership. If you are a priest looking for an unreal chastity, look on.

Was Seretse Khama single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?

Khama is single, and he is running his economy far better than Tanzania's. Kikwete is married but our economy is in the doldrums.

I would choose a Khama over a Kikwete any day of the year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…