Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,424
- 6,258
Nani kakudanganya au ndio fikira zako zilipofikia?Inasikitisha. Lakini hii yote ni umaskini.
Uwizi na udokozi ni tabia tu, kama ingekuwa sababu kuu ni umaskini basi Tanzania karibu yote wangekuwa wezi tukichukulia idadi ya takwimu ya watu maskini.Inasikitisha. Lakini hii yote ni umaskini.
Na wanajua kujitukanaNimenote hapo treatment mwanamke na mwanamume anayotoa kwa mwizi ni tofauti sana. Wanawake mihemuko na matusi tupu.
Nakutakia mfungo mwema rafikiThis is sad!!!!
Huruma kwa wanawake sio wanaume, hao wangekuwa wakiume wangeshavishwa matairi, wezi wa kike wanapata treatment nafuu sana.Kumbe wanaume tuna huruma sana..hao wanawake..duuh..hapana
Aisee nilikuwa nakusaka kweli ile mambo yetu itakuwa wiki hii mwishoniAngekua wa kiume wangempiga balaaa.
Huii na matus juu. Mama alikua na hasiraaa yan yy anatafuta watu wanachukua tu kirahis. Aisee mabint sis Mungu atusaidie
Ah ah ah pouwa bro. Haina shidaAisee nilikuwa nakusaka kweli ile mambo yetu itakuwa wiki hii mwishoni