Ndugu umemsahau sokoine na Nyerere wote hawa wameshawahi kuwa mawaziri wakuu...Sijajua pia kumuweka Malecela na Lowassa kwenye kundi moja?... for what .(kupenda vyombo vya habari)..nieleze chombo cha habari cha wakati huo ambacho kilikuwa kinambeba Malecela. Lowassa -mkurupukaji, Malecela siyo mkurupukaji thet dont fit in one bucket list..unless nieleweshe zaidi.
waberoya
munamuonaje PINDA-si mchapa kazi, anajiliza, analalamika maofisa kununua magari ya bei juu,hapingii rushwa kivitendo,ni ndumila kuwili (leo A kesho Z),anajifanya mtu wa kanisa,mtoto wa mkulima (bora angekuwa mtoto wa bilionea) anayechekelea nchii ikiangamia,
LOWASA-ni mchapa kazi anayeogopwa na maofisa wenzake serikalini (sifa muhimu),ana ujasiri na kujua maana ya cheo chake ni fisadi kivitendo (hana tofauti na PINDA asiyeupinga ufisadi).
hapa ni bora nchi kuwa na lowasa fisadi mchapakazi, kuliko PINDA mpalilia ufisadi asiyechapa kazi?
Hapa sio mahali pa kumsafisha Lowassa. Better find another forum.
Describe Lowassa in one word:
1.MWIZI
2.
3.
hata kama ni MWIZI always LOWASSA amekuwa mchapa kazi na ni mtu mwenye maamuzi bila kuogopa
munamuonaje PINDA-si mchapa kazi, anajiliza, analalamika maofisa kununua magari ya bei juu,hapingii rushwa kivitendo,ni ndumila kuwili (leo A kesho Z),anajifanya mtu wa kanisa,mtoto wa mkulima (bora angekuwa mtoto wa bilionea) anayechekelea nchii ikiangamia,
LOWASA-ni mchapa kazi anayeogopwa na maofisa wenzake serikalini (sifa muhimu),ana ujasiri na kujua maana ya cheo chake ni fisadi kivitendo (hana tofauti na PINDA asiyeupinga ufisadi).
hapa ni bora nchi kuwa na lowasa fisadi mchapakazi, kuliko PINDA mpalilia ufisadi asiyechapa kazi?
Hapa sio mahali pa kumsafisha Lowassa. Better find another forum.
Describe Lowassa in one word:
1.MWIZI
2.
3.
Utalinganishaji watu wabovu, Mvivu, mwizi, hohehahe asiyejua mamlaka aliyopewa.
Pinda mlinganisheni na akina SUmaye, Warioba, Malecela na siyo kumlinganisha na fisadi Luwasa. Pinda na Luwasa hawatufai, wote, yes.
Umenena MARYTINA, unajua huwa najiuliza huku kujiliza kwa waziri mkuu ni kwamba hajui wajibu na mamlaka yake? au ndo yupo kama picha bora yeye mkono uende kinywani? ni kweli EL ni mashine katika kuchapa kazi apewe nchi na watanzania wataona tutakavyopiga hatua,kama ufisadi si atabanwa na watendaji akileta za kuleta tunampiga chini na kunyang'anya mali zake.
Kumbe ilihitajika sadaka kuiokoa sisiem katika sakata la richmond !!!! na kwa misingi hiyo mbuzi wa sadaka hubebeshwa madhambi yasiyo yake, tunaomba utujuze vizuri mkuu son of soil jinsi gani EL hahusiki na sakata lile na badala yake yeye a qualify kuitwa mbuzi wa sadaka ili tusiendelee kuisakama hiyo sadaka ya sisiemsi kweli,wengi wanaojua mambo na kuyaangalia katika upeo na ukweli wake watakubaliana nami kuwa Lowasa ni kiongozi na mtawala mchapa kazi wa kweli kuliko kiongozi yeyote nani ya CCM,wengi ni wanafki ila Lowasa sio mnafki na alitolewa mbuzi wa sadaka ndio hapo matatizo yalipoanza,CCM wakimsimamisha Lowasa kugombea Uraisi 2015 japo hawatashinda lakini wataisumbua CHADEMA kuliko kumsimamisha JUHA mwingine yeyote
uko right kabisa lowasa ni mchapakazi na mimi ninamkubali lakini hafai kuwa raisi, anatakiwa awekwe sehemu ya kuchapa kazi.
Swali: Je wizi ameacha lini na atawezaje kufanya kazi independently huku rostam, patel, ..... Wako nyuma yake?
simsafishi Lowassa,nimemtaja kama ni fisadi in this sred,lowassa ni mchapa kazi ni jasiri ni fisadi.
Nitajie ingalao sifa positive moja ya PINDA, nawaambia bora mawaziri wakuu wote waliopita kuliko huyu PINDA, ebu fikiri kama PINDA angelikuwa rais ya TUNISIA yangeepukika ndani ya mwaka mmoja?
Hapa sio mahali pa kumsafisha Lowassa. Better find another forum.
Describe Lowassa in one word:
1.MWIZI
2.
3.