Community Awards - Advice to CHADEMA

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Hakuna kitu kizuri na kinachotoa moyo kwa jamii kama kupewa pongezi. Mara nyingi zawadi zinatumika katika kupongeza juhudi za mtu binafsi au hata vikundi vinavyoleta mabadiliko katika jamii. Marekani wana desturi nzuri ya kutoa zawadi mbalimbali na leo Obama ametoa '2011 National Teacher of the Year Award.'

Video hii hapa: YouTube - 2011 National Teacher of the Year Award

Sina uhakika kama Tanzania tuna hizi zawadi za jamii, maana mimi binafsi sijawahi sikia wala kuona mtu akishinda. Nina shauri kuwa tuchukue hatua ya kuanza kutoa hizi zawadi na hata kufanya publication ya hizi zawadi.
Itakuwa even more interesting kama Chadema watafanya juhudi za kutoa zawadi kadhaa kwa jamii kwa ajili ya kuonyesha kujali maendeleo katika jamii. Huo ndio ushauri wangu.
 
mkuu sijaona point ya kunishawishi hapa...utoaji zawadi una uhusiano gani na CDM ama ulitaka wampe Jk ya utawala bora?
 
Kwa nini chadema?

mkuu sijaona point ya kunishawishi hapa...utoaji zawadi una uhusiano gani na CDM ama ulitaka wampe Jk ya utawala bora?

Kwa sababu hizi zinajenga a relationship na community! Zinatoa encouragement na zinaonyesha mnajali. Unataka nani atoe? wezi wa ccm? si watachakachua tu kama kawaida yao. hawana credibility yeyote tena!!
 
Back
Top Bottom