Coming soon: Mpanda International Airport!

Coming soon: Mpanda International Airport!

mmakonde

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2009
Posts
965
Reaction score
69
Mpanda.jpg

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Nchemba Mwigulu waisaidia kupanda nyasi kwenye utakaokuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mpanda mkoani Rukwa, jana
 
Attachments

  • Mpanda.JPG
    Mpanda.JPG
    68.5 KB · Views: 464
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Nchemba Mwigulu waisaidia kupanda nyasi kwenye utakaokuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mpanda mkoani Rukwa, jana
 
Siasa za Magamba hizi.

Je Mpanda inastahili International airport?????I guess baaade watauita Mzindakaya International airport!
 
Akili za Stone agers bana. Sasa kwanini wassimarishe kiwanja cha Mbeya? Hivi hata ile barabara ya Tunduma - Mpanda imeshamalizika? BTW, Viwanja hivo ndege zenyewe ziko wapi?
 
daraja la kigamboni lenyewe halijaisah aua sera zao ni kuanza kial ahadi bila kuimalizia?ili kuwamata wananchi mambumbumbu?
 
ujinga mtupu. Dar yenyewe haina hadhi ya kiwanja cha kimataifa. Hivi wabongo tumelogwa? na nyasi anazipanda za nini? sioni logic nikuwanganya watu maskini kama hao ili wapate kula basi. Nani atapanda ndege hapo Rukwa kama si mbunge na mkuu wa mkoa tu? watu hawana mavazi, hospital shule na pahala pa kuuzia mazao yao wewe unaleta hadithi za kijinga. Tulilongwa maana hata rais mwenyewe ni kulalalamika tu. Majina ulisema unayo ya wavuta unga sasa ya nini kuwaambia maaskofu wakemee????? Mafsadi wamekushinda, umeme hakuna maji hakuna. Rais gani hajui kutofautisha need and want?? tatizo kubwa ni kumpa uongozi mtu anayeaamini uchawi. Angalia kila aendako kiti chake cha ikulu lazima aende nacho sijui safari za ulaya. Umekisha kikwete
 
attachment.php

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Nchemba Mwigulu waisaidia kupanda nyasi kwenye utakaokuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mpanda mkoani Rukwa, jana

Huu ni ujinga kweli; Mpanda International Airport: Je hiyo ni katika mojawapo ya ahadi za Kikwete? DAR na KIA zenyewe zinaanza kukosa hadhi za kuwa International Airports, leo hii tunafungua nyingine Mpanda ikiwa na runway ya nyasi? Ujinga kweli kweli
 
Akili za kuigiza majina International airport !uwanja wa ndege ni muhimu lakini kwa kiwango gani? ndege ngapi zitatua kwa saa kama sio ndege mmoja ndogo kutua kwa mwezi,na ndege ya Raisi mara mmoja kwa mwaka ?Gharama za kuujenga na kuuendesha kimataifa zitatoka wapi?Acha kuchezea uchumi wa nchi,weka pesa za walipa kodi kwa yale yatakayosukuma maendeleo ya taifa letu mbele.
 
Upumbavu huu utaendelea kutumaliza. Dodoma mji mkuu hauna uwanja wa kimataifa halafu wanafanya uchafu huu. Nape nimemwona hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa. Ni kilaza wa mwisho kabisa.
 
attachment.php

Huu ni ujinga kweli; Mpanda International Airport: Je hiyo ni katika mojawapo ya ahadi za Kikwete? DAR na KIA zenyewe zinaanza kukosa hadhi za kuwa International Airports, leo hii tunafungua nyingine Mpanda ikiwa na runway ya nyasi? Ujinga kweli kweli
mkuu mimi nashida kabisa hawa viongozi weti sijui awana exposure au kuta za ma vx zinzwapofusha
 
UJINGA UJINGA UJINGA

Naona huko Rukwa watu bado sana.
 
CCM jamani ni kweli kabisa kwamba haina watu wenye akily kuweza kuona nje ya upuuzi huu au nini haasa kinawapata ?
 
Kweli viongozi wa ccm ni hopeless,wanashindwa hata kutumia elimu ndogo ya kufanya scale of preferance za watanzania.....uwanja wa ndege mbeya haujaisha tunaanza mpanda.what iz it for?
 
Akili za Stone agers bana. Sasa kwanini wassimarishe kiwanja cha Mbeya? Hivi hata ile barabara ya Tunduma - Mpanda imeshamalizika? BTW, Viwanja hivo ndege zenyewe ziko wapi?
Ile barabara bado ipo vilevile!!
 
Twende taratibu jamani, kwanza International Airport ni uwanja wa aina gani? Unatakiwa uwe wapi na je tulivyonavyo vime perform kiasi gani?

International Airport ni uwanja wa KIMATAIFA yaani kuna International arrivals & departures hivyo facilities zake zinatakiwa kuwa ina hadhi ya kimataifa. Lakini pia hizo departure na arrivals ni abiria ndo wanatakiwaa wawe wanasafiri na kuingia.

Abiria hawa ni pamoja na watalii, wafanyabiashara, dilpmats, wanasiasa etc. Hivyo lazima mji ambao International Airport unajengwa lazima kuwe na potentials. Ok inawezekana plan ya 2030 kila wilaya iwe na International Airport ila kwa kuzingatia hali ya kifedha ya nchi yetu this is not supposed to be of the priority. I can BET kama wakiendelea kuujenga basi utakuwa under utilized at 99% (WHITE ELEPHANT)

For your information KIA is underutilized for almost 80% kwani ndege inayo land pale ya kimataifa ni KLM, ETHIOPIAN, na kandege kengine kamenza hivi karibuni toka RSA. And gues what hizi ndege hazitui kila siku.

Hivi kuna businessman, mtalii, diplomat, celebrities ambao anataka kwenda Mpanda sasa HIVI?

USHAURI - Serikali waweke strategies za vivution Mpanda then ndio waangie kwenye miundo mbinu. AU HIZO HELA ZIONGEZWE KWENYE BAJETI YA MIUNDO MBINU THEN ZIPELEKWE TRL KWANZA WANA MPANDA WANGEFURAHI SANA.
 
Kuna beki tatu wa jamaa yangu kwao ni Mpanda hajaenda kwao mwaka wa nne anasubiri kuwe na train ya uhakika. Hii pesa si ingeenda huko?
 
Akili za Stone agers bana. Sasa kwanini wassimarishe kiwanja cha Mbeya? Hivi hata ile barabara ya Tunduma - Mpanda imeshamalizika? BTW, Viwanja hivo ndege zenyewe ziko wapi?

ndugu yangu mbeya tu?
ebu uje uone kiwanja cha mwanza ndo utachoka kabisa,mana ata mie na senti zangu naweza jenga lile banda.ilhali ni mkoa wenye utajiri kuliko Tz.
uyu mtoto ana matatizo na anaweweseka,ningekua mzazi wake;mawili
1.achague wazazi/familia/ukoo
2.achague uko aliko +laana

naogopa ban ningesema kitu
 
Back
Top Bottom