mkuu mimi nashida kabisa hawa viongozi weti sijui awana exposure au kuta za ma vx zinzwapofusha
Ni ukosefu wa wizu kwa viongozi wetu wanalewa madaraka, hela za ufisadi hadi hawajifunzi pamoja na safari zote za nje, sasa unadahani watajenga viwanja kwa hela gani wakati wana wanajilimbikizia mabilioni kwenye ma benki ya nje.
angalia hapa ni juzi juzi tu walikuwa wakimbizi hapa kwetu sasa wako juu.View attachment 31575
ujinga mtupu. Dar yenyewe haina hadhi ya kiwanja cha kimataifa. Hivi wabongo tumelogwa? na nyasi anazipanda za nini? sioni logic nikuwanganya watu maskini kama hao ili wapate kula basi. Nani atapanda ndege hapo Rukwa kama si mbunge na mkuu wa mkoa tu? watu hawana mavazi, hospital shule na pahala pa kuuzia mazao yao wewe unaleta hadithi za kijinga. Tulilongwa maana hata rais mwenyewe ni kulalalamika tu. Majina ulisema unayo ya wavuta unga sasa ya nini kuwaambia maaskofu wakemee????? Mafsadi wamekushinda, umeme hakuna maji hakuna. Rais gani hajui kutofautisha need and want?? tatizo kubwa ni kumpa uongozi mtu anayeaamini uchawi. Angalia kila aendako kiti chake cha ikulu lazima aende nacho sijui safari za ulaya. Umekisha kikwete
I am very sure kama uwanja huu ungejengwa sehemu nyingine au kama ingekuwa ni chama cha upinzani kimekuja na kauli hiyo humu ndani response ingekuwa ni positive. International or otherwise, Rukwa kama sehemu nyingine ya nchi wanahitaji miundo mbinu na Airport. Hoja kwamba hakuna watu watapanda ndege ni dhana tu kwani huwezi kujua hilo mpaka kuwe na ndege na huo uwanja. Wacha maendeleo yawe de-centralized kwa maendeleo ya nchi yote.
Sasa na wewe uwanja wa tope ndio uwanja huo?
Ndugu yangu ndege zinakuja ila nembo imeshafika. ametuletea mhe. Mataka kabla hajastaafu!Akili za Stone agers bana. Sasa kwanini wassimarishe kiwanja cha Mbeya? Hivi hata ile barabara ya Tunduma - Mpanda imeshamalizika? BTW, Viwanja hivo ndege zenyewe ziko wapi?
Mkuu ni kweli pengine maelezo ya picha yamekosewa. Hii labda Nape anafungua International 'Mpunga' FarmInternational Airport ndio inapandwa Mpunga?????:becky:
CCM jamani ni kweli kabisa kwamba haina watu wenye akily kuweza kuona nje ya upuuzi huu au nini haasa kinawapata ?
Msishangae sana, akili za sido! Yale yale ya ''It's Our Turn to Eat''.Akili za kuigiza majina International airport !uwanja wa ndege ni muhimu lakini kwa kiwango gani? ndege ngapi zitatua kwa saa kama sio ndege mmoja ndogo kutua kwa mwezi,na ndege ya Raisi mara mmoja kwa mwaka ?Gharama za kuujenga na kuuendesha kimataifa zitatoka wapi?Acha kuchezea uchumi wa nchi,weka pesa za walipa kodi kwa yale yatakayosukuma maendeleo ya taifa letu mbele.