Mi nacomfesi kwa bibie Amyner kwa kuwa wewe Remmy na BADILI TABIA mlinitia majaribuni nkamsaliti
Naahidi kutorudia tena ingawa cacico ananiwinda ila hatanipata ng'oo
Mi nacomfesi kwa bibie Amyner kwa kuwa wewe Remmy na BADILI TABIA mlinitia majaribuni nkamsaliti
Naahidi kutorudia tena ingawa cacico ananiwinda ila hatanipata ng'oo
Vp kama nitakupatia mtu safi na atakaekupa raha?
We BADILI TABIA mwache kondoo atubu ebo!
Siku zote maji yakichemuka na kufikia sentigredi 200%Hu wa hayasahau kwao hivyo hata yachemke vipi lazima ya tarudi ubari ndo kwao.....Nadhani mtu chake utakuwa umenielewa....Mpenzi wangu Preta nimekusamehe kwa yote najua ulipotoka kwani siyo kawaida yako naninachokiona nimimi kuwa na kazi nyingi za field kuanzia leo naomba nirudishwe mjini niungane na wewe kwa kila sekunde iendayo kwa mungu....:A S-rose::mwaaah:
mmmh huyo 'kondoo' usimwamini sana, akishatubu baada ya nusu saa tu anarudia pale pale....
Hapo King'asti huyo jamaa kaamua kuwa muwazi tu na ni vizuri zaidi kwa muhusika kuchukua hatuaHahaha, bora awe anajijua na kuukubali 'udhaifu' wake. Nilimlaumu mtu akawa anacheka tu. Nikaanza kumshangaa, akajibu 'I'm not gonna apologise manake in less than an hour nitarudia kosa hili'. Ilibidi nicheke tu. Manake ni leave or else live with it! I appreciate honesty
Hahahaaaa hakuna anayesikia bhanauwiiiiiiiiiiiiiiiiii usikonfesi kwa sauti watu wasije kusikiaaa.....loh