Comfesheni page. . . . .

Comfesheni page. . . . .

Duuuuuuuuuu............
Kwahiyo nichape lapa....
Nisijipe moyo eeee
Maana umesema hutorudi tena.
Hahahaaaaa siunajua tena najihami ila waujua moyo unavyoyumbayumba lol
 
naona umeniita mkuu@Kaka kiiza...ila nami nikiri ni jana tu nimedate na CUTE..aise..bado niko naye hadi muda huu wa ausubuhi..sijarudi nyumbani..nisamehee bebi wang Preta
 
Last edited by a moderator:
Hehehee Remmy mi sinishacomfesi?
Lol acha kunitia majaribuni tena lol
Ngoja nisome ramani kwanza

Usome ramani kwanza?
Haya muda gani utakotosha?
Don't drag me please......!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom