Comfesheni page. . . . .

Comfesheni page. . . . .

mimi nime?>][=,./&*@#^&*)(+1~` na nanihiii
 
uuwiiii....my mtu chake nisamehe.....kweli nilikuchit...jana tu.....na KakaKiiza.....unajua bebii....huyu alikuwa wangu kabla yako.....sasa jana ulipokuwa haupo.....nikakumbuka style yake moja ya kibatari.....wewe hujawahi kunipa hiyo.....ikabidi nimfuate.....kweli sirudii tena....naapa.....
 
Last edited by a moderator:

Afanaaalekii . . . . . . Komfesheni zingine zinanipa wakati mgumu mie mchungaji!
 
Last edited by a moderator:
uuwiiii....my mtu chake nisamehe.....kweli nilikuchit...jana tu.....na KakaKiiza.....unajua bebii....huyu alikuwa wangu kabla yako.....sasa jana ulipokuwa haupo.....nikakumbuka style yake moja ya kibatari.....wewe hujawahi kunipa hiyo.....ikabidi nimfuate.....kweli sirudii tena....naapa.....
daaah kina kibatari style tena ...
 
we chukua kibatari....kiwashe sehemu yenye upepo......kitakavyokuwa kinawaka.....style iko hapo....
ONYO...usiniibie KakaKiiza wangu tafadhali......
hata sielewi ....ngoja niende kwenye maombi kwanza
 
Rev Eiyer wewe mdogo wa moyoni nashindwa nitubuje kwako manake niliowasha tamaa za ngono kwao ni wengi sana na niliowavutia pia ni wengi kiasi cha kuzini na wengi sana moyoni. kivitendo ni shemejiyo Kaizer tu
 
Last edited by a moderator:
Mimi si confess kwa mke wangu kwani anajuwa kuwa ni kiwembe cha mtaa. Yeye hujisemea tu kuwa yeye niliemueka ndani ndio nampenda wengine wote nawachezea tu!
 
Back
Top Bottom