Comfesheni page. . . . .

Comfesheni page. . . . .

comfession ni nzuri ila inaleta heart attack
 
unatubu kwa kuutangazia umma? Sema unataka kujuwa tu madudu wanayofanya watu.

Wewe,maungamo haya tunayasikia mimi na Rev Masanilo tu!
 
Hii ya kutubu natakiwa kuanza kuungamia makosa tangu lini hasa??? Wiki hii pekee yake? Maana kama ni miaka zaidi ya miwili nyuma orodha ni ndefu ngoja niendelee kuwakumbuka halafu ntarudi ...
 
Hii ya kutubu natakiwa kuanza kuungamia makosa tangu lini hasa??? Wiki hii pekee yake? Maana kama ni miaka zaidi ya miwili nyuma orodha ni ndefu ngoja niendelee kuwakumbuka halafu ntarudi ...

Kijana,hii ni tangu ulipomtamkia mwenzi wako unamlove!
 
Kijana,hii ni tangu ulipomtamkia mwenzi wako unamlove!

Aisee ni zaidi ya miaka sita tangu nitamke hili neno, so orodha ni ndefu! Maadamu leo ni jpili acha nipite kwa Paroko nikatubu juu kwa juu, loh!
 
Aisee ni zaidi ya miaka sita tangu nitamke hili neno, so orodha ni ndefu! Maadamu leo ni jpili acha nipite kwa Paroko nikatubu juu kwa juu, loh!

Anzia hapa kwa Rev Eiyer kwanza!
 
angalieni isijekuwa CONFUSION badala ya CONFESION,dhambi tamu jamani!
 
Nahisi kama utashindwa kuniombea maana ni juzi tu nilikuwa na Kaunga, loh! Ndiyo maaana sitaki kuyaweka haya hadharani!

She already told me about that!Dont worry speak out!
 
Jamani kama kuna alienionea Asprin mwambieni namuhitaji hapa,natoa misamaha leo!Mkimkosa kwa mama matesha nendeni kwenye ile grosari pale karibu na kwa dada King'ast mtamkuta!
 
Mwambie,anafikiri anachonganisha kumbe mimi nishayasema yote na mistari aliyoingilia nayo!

Unajua vijana bana wanamatatizo,wakionjeshwa tu inakua tabu!
 
Baada ya kukaa miaka 35 bila kuuona utupu mwa mwanamke,mke wangu alienibikiri last week ameniambia nafaa kuwa mchungaji!
Mhh maneno jaman dah, yako wazi namna hiyo!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom