OOT: Nimemzimikia boss wangu sijui nifanyeje? nipeni muongozo.
hivi unaaanzaje kuomba ela ya simu???
Hiyo kweli ni shida........hata mimi ilishawahi nitokea lakini nikawaza mrejesho........itakavyokuwa baadae........nikaona isiwe tabu.......sasa hivi ni best boss ever..........
baada ya kumpa au kushinda vishawishi???
Kwanza tuanze na vocha........Kwani vocha sh ngapi........?..........mi nadhani tuanzie kuomba Mende na kuendelea..........plots.......charter company........etc.......
siombi ela ya kununua chochote hata nikiwa mkeokumbe mpo hata humu jf....rare species msioomba omba maanake siku hizi usipokuwa ombaomba wewe sio mwanamke.
siombi ela ya kununua chochote hata nikiwa mkeo
labda uone huo umuhimu wa kunipa...,
Hiyo kweli ni shida........hata mimi ilishawahi nitokea lakini nikawaza mrejesho........itakavyokuwa baadae........nikaona isiwe tabu.......sasa hivi ni best boss ever..........
Kwanza tuanze na vocha........Kwani vocha sh ngapi........?..........mi nadhani tuanzie kuomba Mende na kuendelea..........plots.......charter company........etc.......
mume/bf anaejitambua atafanya hivi
Kwanza tuanze na vocha........Kwani vocha sh ngapi........?..........mi nadhani tuanzie kuomba Mende na kuendelea..........plots.......charter company........etc.......
KIKOSI CHA MIZINGA- by SONGA
ofcoz
pia nadhani wewe uwezi kuniomba mambo yetu kama najitambua nitajua hitaji lako wakati wote
Ila wamezidi, I met a hot diva few weeks ago (banker) when I wiring some transaction! It was like give me your number I will call you when your transaction go through! She called the next morning hey your transfer was successful! Before I realize she started calling me bb, honey! The real shocker came when she dropped a bomb! Bby nina shida lakini naona aibu kukuambia (then kile kikaragosi kimejifunika uso)
Mwanaume I was like what is it bb.....? Nina shida na laki 8 naomba msaada wako!!!! I just went cold to the core of my stomach!!!! It is not fair!!
dude u just wired USD 100,000......what is tzs 800,000??? karibu duniani ndio wanawake hao au we mgeni nao kama mimi?
Ukimwangalia ! She is hooot! Usafiri wa bomba! Yuko nadhifu!! Umbo namba 8!!! Lazima tu utanasa !! Thats why I say, its not fair!!!! They know our weakness!!
Ila wamezidi, I met a hot diva few weeks ago (banker) when I wiring some transaction! It was like give me your number I will call you when your transaction go through! She called the next morning hey your transfer was successful! Before I realize she started calling me bb, honey! The real shocker came when she dropped a bomb! Bby nina shida lakini naona aibu kukuambia (then kile kikaragosi kimejifunika uso)
Mwanaume I was like what is it bb.....? Nina shida na laki 8 naomba msaada wako!!!! I just went cold to the core of my stomach!!!! It is not fair!