College of Engineering cha UDSM Chafungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

College of Engineering cha UDSM Chafungwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 9, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Habari ndo iyo.

  Nasikitika kuona imefika hapo kwa suala ambalo ninaamini lingezungumzika. Nadhani vijana wa Engineering itabidi wa-review thinking yao.

  Wenzao (mangwini) juzi walikuwa kwenye mgomo kushinikiza serikali ya nchi yao iwaongezee posho. Kilichonishangaza ni kuona wanafunzi wa uhandisi hawashiriki. Wao walikuwa na mgomo tofauti wa kushinikiza mwenzao aliyeliwa kichwa arudishwe.

  Sitaki kuwananga. But they have screwed themselves by enlarging this problem.

  Hakuna uinjinia hapo. ni uhuni tu.
   
 2. T

  TwendeSasa Senior Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  heri eng mmoja Kuliko mangwini 100...
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sjakuelewa unamaanisha kimeshafungwa?na washakula kona?
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  najua.

  engineer 1 = watanzania 7000

  lakini kwa hili vijana wamechemka. nina wasiwasi na instinct za ma-injinia wa siku hizi.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kimefungwa indefinitely.
   
 6. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo college siku hizi hamna kitu tangu walipobadilisha kuwa college kutoka faculty. Engineering ilikuwa kipindi sisi tupo huko miaka ya 90, waliokuwepo enzi hizo wanajua.
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Umepeleka wa busara zako, waache hawa vijana wanachofanya ni sahihi, kwa mazingara ya sasa mtu una GPA above 3 then unadisko kwa course moja tu haikubaliki.
   
 8. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  vijana wamechemka sana. wanamtetea vipi mwenzao aliyefukuzwa kwa kuwa na desa darasani? ilihali yeye mwenyewe alithibitisha kwenye maandishi kuwa ametafuna hiyo karatasi? it is strange

  zamani tulikuwa tunagoma kwa issue inayotuunganisha wote. issue kama hii tulikuwa tunaishia kuchangisha pesa ya ku appeal na kutafuta lawyer wala si kugoma
   
 9. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Polen sana mainjinia wetu wa kibongo! Siku hz elimu ya kibongo imejaa msuli pepa na wanaoshndwa kumeza ni kudesa kwa kwenda mbele! Sio makosa ya wanafunzi,mazingira ya elimu yenyewe yanachangia! Our education is too theoritically!!! Not relevant to our development! Ina pima uwezo wa wanafunzi kukariri na si uelewa halis wa wanafunzi wa kutransform materials to real environment! Wanaowafukuza wenyewe uskute walikuwa wadesaji wazuri au wamesoma nje!
   
 10. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  issue si GPA hata kama una 4.5 au zaidi, umekutwa na karatasi una copy ina maana hata hiyo GPA ni ya kuchakachua lazima taratibu za msingi za ku assess wanafunzi zifuatwe otherwise tunajenga Taifa la wahuni
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ni kweli haikubaliki. Lakini lazima tukubaliene kuwa UDSM ni Shirika la Umma. Ni tawi la Serikali. Michakato ya serikali huwa haiendi kwa kuburuta. Ukidisko lazima usote angalau mwaka mmoja wakati huo ukifuatilia directly au indirectly. I know this.

  Mimi ninaamini vijana hawajatumia busara.

  Tuombe Mungu jamaa arudi watakaporuhusiwa kurudi.
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  acha dharau
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Haaa kumbe kakamatwa akidesa na amekiri mwenyewe?? Kumbe nilikuwa nahurumia mtenda dhambi.

  Nampa pole, chuo nilichosoma ukikamatwa unaigiza tena kwenye mtihani unapewa hadi nauli na usafiri wa kukufikisha kwenu. Ukileta kiburi ishu inapelekwa mahakamani.......

  Ni halali yake kufukuzwa chuo kama sheria za chuo zinavyosema.
   
 14. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Duh.. Kwa kipi haswa ambacho wamekifanya kudeserve hii accolade?
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  UDSM bila madesa hutoki.

  tatizo ni namna ya kuyatumia.
   
 16. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch:
   
 17. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Source taarifa ya habari TBC1 (saa saba na nusu mchana tarehe 9 Feb 2011)

  Makamu mkuu wa chuo amekifunga chuo hivyo hadi itakapotangazwa tena. Kisa ni kwa sababu wamekataa kuacha mgomo wa kushinikiza mwenzao aliyepatikana anaibia mtihani arudishwe
   
 18. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Wenzio lengo la kufungwa chuo limetimia wewe unasema wame screw? fuatilia historia ya migomo yote ni karibia na mitihani wenziowalikuwa wanatafuta sababu za chuo kufungwa ili wakameze material walizolishwa mfululizo na baadaye kuingia kwenye UE
   
 19. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mimi bado nafurahi tu kwamba ccm na serikali wanapanua wigo wa upinzani na uanaharakati. Hawa wataipenda serikali na ccm kwa sababu gani?
   
 20. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama alikuwa kweli anaibia mtihani afukuzwe kabisa huyu. Hana tofauti na mafisadi wengine. Sasa huyu akifanikiwa kupata degree na kuwa engineer na baadaye kupata kazi ya ukurugenzi tanesco si atakuwa anaingia mikataba kama ya dowans mengi tu? Kukuzia mbali huyu fisadi wenzake wanakesha kusoma yeye anataka mteremko tu.
   
Loading...