College of Engineering cha UDSM Chafungwa

vijana wamechemka sana. wanamtetea vipi mwenzao aliyefukuzwa kwa kuwa na desa darasani? ilihali yeye mwenyewe alithibitisha kwenye maandishi kuwa ametafuna hiyo karatasi? it is strange

zamani tulikuwa tunagoma kwa issue inayotuunganisha wote. issue kama hii tulikuwa tunaishia kuchangisha pesa ya ku appeal na kutafuta lawyer wala si kugoma


Mkuu kama hapo kwenye RED kuna ukweli wowote, basi hawa vijana tamekosea! Haikubaliki kutoa wataalam (especially engineers) wanaotumia madesa kwenye mitiahani.

Mara nyingi vijana walikuwa wakigoma endapo wana sababu za msingi, sioni kama mtu mwenye akili timamu anaweza kusimama na kusema nimegoma kwa sababu mwenzangu amekutwa na desa kwenye mtihani akafukuzwa chuo. Hivyo nataka arudishwe ndiyo mgomo uishe......!

Aingii akili, naendelea kuamini kuwa vijana wanasababu nyingine.


 
Wizi uwe wa mitihani au kitu kingine ni kosa na tena ukifikishwa kwenye vyombo vya kisheria ni kosa la jinai.
 
Watoto wa CIVIL wamezoea vibaya...Mi naamini uwezo wanao ila wanajiendekeza...mi nilikuepo pale muda c mrefu...jamaa wanajidai eti mambo yao magumu bila desa hawatoki....ndo wamewaponza!!!
 
Kwa hili Prof J H Y Katima lazima atoe maelezo muhimu!! he cant waste time of young brothers and sisters by closing the college he must come out with sustainable solution to COET!! acha siasa Katima ongoza college.
 
Wenzio lengo la kufungwa chuo limetimia wewe unasema wame screw? fuatilia historia ya migomo yote ni karibia na mitihani wenziowalikuwa wanatafuta sababu za chuo kufungwa ili wakameze material walizolishwa mfululizo na baadaye kuingia kwenye UE

HAKIKA HII NDIO SABABU HASWA, Hawa jamaa style hii wamekuwa wanaitumia sana toka enzi hizo; Unatarajia nini una-mmezesha mtu rundo la zigo bila kumpa muda wa kudigest ; inabidi mtu atafute utaratibu mwingine;

sababu imeshapatikana!!!
 
Wenzio lengo la kufungwa chuo limetimia wewe unasema wame screw? fuatilia historia ya migomo yote ni karibia na mitihani wenziowalikuwa wanatafuta sababu za chuo kufungwa ili wakameze material walizolishwa mfululizo na baadaye kuingia kwenye UE
<br />
<br />
yes,hata siye tulikuwa tunafanya hivyo.UE ikikaribia tunatafuta sababu ili tugome na tukifukuzwa ndo tunajiandaa vizuri,la sivyo mnafeli.
 
Polen sana mainjinia wetu wa kibongo! Siku hz elimu ya kibongo imejaa msuli pepa na wanaoshndwa kumeza ni kudesa kwa kwenda mbele! Sio makosa ya wanafunzi,mazingira ya elimu yenyewe yanachangia! Our education is too theoritically!!! Not relevant to our development! Ina pima uwezo wa wanafunzi kukariri na si uelewa halis wa wanafunzi wa kutransform materials to real environment! Wanaowafukuza wenyewe uskute walikuwa wadesaji wazuri au wamesoma nje!

Wala hili halina ubishi. Hao wanaojiita sijui wahadhiri ndo usiseme kabisa ni watu wa kucopy na kupaste.

Nipo chuo kimoja hapa nchini najaribu kupigana na ujinga zaidi baada ya kutoka CoET mieaka hiyo lakini ninachokiona hapa mh.
 
Bwana Gurudumu huwa ninaheshimu sana hoja zako.

But I can assure you this thing has nothing to do with CCM or Tanzania politics in general.

Chuo kina sheria zake. Zimevunjwa. Mwanafunzi ame-disco. Fine. Lakini hapohapo kuna nafasi ya ku-appeal. Ndiyo njia pekee na imewarudisha wengi masomoni baada ya kupatwa na mikasa kama huyu mwanafunzi.

Pamoja na ku-appeal, lazima mwanafunzi husika asote kidogo mtaani. sasa hawa jamaa walikuwa wanataka arudishwe sasa hivi.

How come? Wiki ya 13-14. Walimu wako bize kuandaa tests na UE's.


Kila jambo linatafutiwa ufumbuzi kwa wakati wake.

Ishu za kudisco huwa zinatolewa maamuzi kipindi cha mpito kuelekea mwaka mwingine wa masomo.

ndo maana nasema hawa watoto wame-screw!!

kwa waliosoma uhandisi wanaweza wakaielezea hii crisis vizuri sana!
 
Back
Top Bottom