Code za Kiume na Ambazo sio

Code za Kiume na Ambazo sio

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
480
Reaction score
818
Ambazo sio code za kiume.
1.Havai kipensi/ bukta fupi Inaonyesha mapaja.
2.Hali chips mayai zege...hata akila chips yai mayai ni pembeni sio zege.
3.Hanunui IPhone Na Kupiga nayo picha ili ionekana .
4.Akisikia Kitu Haendi kutangaza Au kusema /kifua cha kuficha siri za watu.
5.sio MMbeya /Mchonganishi.
6.Hanywi vinywaji kama Reds na savana
code za Kiume.
7.Anakula ugali dona na nyama choma.
8.Ana Fanya mazoezi at least 2-3 days per week .
9.Anapambana kutafuta pesa Daily.
..Nyingine ONGEZeeni Wana J.F.
 
Ambazo sio code za kiume.
1.Havai kipensi/ bukta fupi Inaonyesha mapaja.
2.Hali chips mayai zege...hata akila chips yai mayai ni pembeni sio zege.
3.Hanunui IPhone Na Kupiga nayo picha ili ionekana

Hizi ni code za wanaume maskini na wasio na exposure.

.
4.Akisikia Kitu Haendi kutangaza Au kusema /kifua cha kuficha siri za watu.
5.sio MMbeya /Mchonganishi.
Hizi ni Code na mwanaume yeyote anayejitambua

6.Hanywi vinywaji kama Reds na savana
code za Kiume.
7.Anakula ugali dona na nyama choma.

Hizi ni Code za wanaume Maskini na wasio na exposure.

8.Ana Fanya mazoezi at least 2-3 days per week .
9.Anapambana kutafuta pesa Daily.
..Nyingine ONGEZeeni Wana J.F.
Hizi ni code muhimu kwa wanaume wanaojitambua
 
Back
Top Bottom