Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Huyo sio shem cuzoo tulikuwa tunamsingizia ujue ndio mana walikua wanatucheka

Huyo sio shem cuzoo tulikuwa tunamsingizia ujue ndio mana walikua wanatucheka

Tumeamka salama mamyMmekamkaje wapenz team ya mie nawapenda sana
Ni kiki bhanaHuyu mama anakosea hapa tu mwanaume sio wa kushindana nae kabisa jamaan unamuacha tu na mambo zake![]()
![]()
![]()
Salama kabisaMmekamkaje wapenz team ya mie nawapenda sana
Mmh cuzoo kiki ya nini kwani domo anataka kutoa nyimbo au kuzima 40 ya mobetoNi kiki bhana
Ndiwoooo cuzoo


shem wetu Cole yupo nae kule kwao kwenye malikes kuna kipindi walikuwa wanashare avatar mojaPopote ukimwona unidipuMarahaba za wewe jaman sijamuona mda kabisa labda kafichwa na makinikia
Senkyuu my dearKaribu tena mamy
Interview ikwapi hiyo?Hata kusoma naona uvivu
Leo ni kupatwa kwa interview
Naona joanah kaanzisha moto kule
NafurahTumeamka salama mamy
Ipo upande wa piliInterview ikwapi hiyo?
Sawa zimefikaPopote ukimwona unidipu
Chit chat humuhumu unajina kama hiliInterview ikwapi hiyo?
Avatar gani hiyo??Ndiwoooo cuzooshem wetu Cole yupo nae kule kwao kwenye malikes kuna kipindi walikuwa wanashare avatar moja
Mmhh kwani we ndio shemela Cole jamanAvatar gani hiyo??