Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Hulali mpaka muda huu unashindana na wakubwaWooooooozaaaaa![]()
Ngoja kwanza usitujumlishe wote ujue jana tumesemwa sana na watu huku kwenye interview ya faiza ujue watu hawapendi kuona chit chat zetu tunawakwaza ndio mana leo tumeuteka huu uzi wa muosha masufuria uwe wetu youngbloodKwakweli alichokifanya coco kweye ile Interview yake kimenifanya nifikirie mambo mengi sana kuhusu wanawake wa JF.
Hulali mpaka muda huu unashindana na wakubwa
mwenyewe mkubwa kitu cha 55So umeamua kuupotezea ule mwengine..... yani Interview imepoa sijawahi kuonaNgoja kwanza usitujumlishe wote ujue jana tumesemwa sana na watu huku kwenye interview ya faiza ujue watu hawapendi kuona chit chat zetu tunawakwaza ndio mana leo tumeuteka huu uzi wa muosha masufuria uwe wetu youngblood
55 kumbe bado dogo tu![]()
![]()
mwenyewe mkubwa kitu cha 55
Sio mimi tu team yote wetu unayoijua we hujashangaa kumepooza wameingia na kuchunguliaSo umeamua kuupotezea ule mwengine..... yani Interview imepoa sijawahi kuona
Ndiyo maana kumepoa sana...alafu nimeshangaa lile jeshi lenu mbona silioni kabisa! Kumbe mmejichimbia huku....ila shunie nyie ni kiboko aiseeSio mimi tu team yote wetu unayoijua we hujashangaa kumepooza wameingia na kuchungulia
siku nyingine msirudie tena mtafanya Interviews zife kifo cha mende.mfyuuuuu zakoooo
kule kwetu watu wa umri kama wako wananiamkia salamu inaitwa "Mwinyi"
Ndiyo maana kumepoa sana...alafu nimeshangaa lile jeshi lenu mbona silioni kabisa! Kumbe mmejichimbia huku....ila shunie nyie ni kiboko aiseesiku nyingine msirudie tena mtafanya Interviews zife kifo cha mende.





hatutaki hawatuoni tena huu uzi wetu tumeshauteka yaan huku ndio meeting place yetu ujue ebu pitia uzi wa faiza uone watu walivyotapikwa kumbe tunawakera youngblood jamaan
![]()
![]()
![]()
kule kwetu watu wa umri kama wako wananiamkia salamu inaitwa "Mwinyi"









Mlale salama team ubuyu
Nawapenda tu
Bahati mbaya huo uzi hata sijaupitia,ila siunajua tena mambo ya binadamu tena ..majungu lazima.hatutaki hawatuoni tena huu uzi wetu tumeshauteka yaan huku ndio meeting place yetu ujue ebu pitia uzi wa faiza uone watu walivyotapikwa kumbe tunawakera youngblood jamaan
Watu wameongea sana kuwa tunaharibu interview na chit chat zetu wanashindwa sikiliza eti watatuombea ban ndio mana tumeamuwa kwenye interview tuwe wasomaji tuuuu story huku kwenye uzi wetuBahati mbaya huo uzi hata sijaupitia,ila siunajua tena mambo ya binadamu tena ..majungu lazima.
Ila mimi nawaomba mrudi tu maana mambo yataharibika kabisa shunie mimi nakwambia ukweli.
Wameharibu!!.Watu wameongea sana kuwa tunaharibu interview na chit chat zetu wanashindwa sikiliza eti watatuombea ban ndio mana tumeamuwa kwenye interview tuwe wasomaji tuuuu story huku kwenye uzi wetu
Wanachotakiwa kujua interview ipo chit chat wakijua hivyo tuuu hawapati shida kabisaWameharibu!!.
Interview bila chit chat hainogi kabisa.
Asante mamy kwa kuniita sisi kimya ila utawaona tu watu watakavyochit chat we
Muosha masufuria niulizie kwa coco baby ana undugu na makonda au ni boss wake sina la zaidi huwa namkubali tu na misimamo yake huyo mama nitarudi nikiwa na maswali mengine
Njoo pm uniambie vizuriNaachaje sasa?**** mmoja nilikuwa namuona wa maana lakini jana nimemshusha vyeo
