Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Huyo mnamibia chibu anacheza mechi za nje tuAiseee pata hela uonekane mzuri,kila mdada anajiweka cheap kwa chibu
Huyo mnamibia chibu anacheza mechi za nje tuAiseee pata hela uonekane mzuri,kila mdada anajiweka cheap kwa chibu
Umeonaeehuu si upo juu
Utakuta wanapita kimya kimya na kuzimia nyuma ya keyboard![]()
Huyo ndio zakeHalafu zari kama kawaida yake katema povu snap nasikia
Naongezea.
Binti SakayoHahaha
usinikumbushe kipindi kile
Ile ban ilituuma ujue
Na wewe pia ulipewa banusinikumbushe kipindi kile
Ile ban ilituuma ujue
Alikuwa anataka kuanza umbeaNimekuona unamwambia muosha masufuria aulize maswali![]()
Ila hili povu la safari hii sijui ni sabuni gani ileHuyo ndio zake
WoowBinti Sakayo
Ulikuwa unatajwa kila siku,ilibaki kidogo tuandamane hadi kwa modsIlinipa puresha daah nilimiss likes,niliwamiss kweli