Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ndo huko nilikuwa naona kimyaWamefungua uzi mwingine
Ndo huko nilikuwa naona kimyaWamefungua uzi mwingine
Amin tu ,check avatar yangu,ukiona povu ujue nagoogle nacopy na kupaste hapa hahah



eeeh kumbe
Ingia tu hapa hapa chit chat utaonana nao nimetoka mda sana hukoNiite huko dada lake ni "refresh" mind
Kwanza kakimbiaHahaha kichwa kitakua kisaafii
HahahaUzi una polio
Watu wameanza kutuma mapicha picha tu
Yaani umedorora hatariHauna jipya kabisaa
Hatujaziriwa ila tumeuteka kilazima ujue ebu tupia wote wanaojifanya hawapendi umbea watakuja na tutawafukuza labda sio wale waliotoa povu
Halafu nimeshtuka woote Wanasoma hukuu


kumbe wanafuatilia kimya kimya eeh
Kwakweli Numbiii tuletee maubuyu tan huku ni maumbea ya install tu mjueKweli kabisa atuletee habari tuwe tunafaidika sieee.
Amin tu ,check avatar yangu,ukiona povu ujue nagoogle nacopy na kupaste hapa hahah










Watakuwa wanafatilia kimyakimya si ndio zao hizo kuwa sisi fujo zetu zinasababisha hivyoKwani hata kule wanaonekana basi
Acha nicheke tu,labda kama wanafuatilia kimya kimya
Nasubiria maswali yao siyaoni yaaani natamani nitupiemo hata nukta





umekuwa ukhuty
Sawa kaka akeeTayari nipo ukumbini dada lake