Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahaha kule kwa Bibi wa jfKwa bibi wapiii tena si tupo kwenye uzi wetu
Hahaha kule kwa Bibi wa jfKwa bibi wapiii tena si tupo kwenye uzi wetu
Ni kweliiiDaima am with zari kwanza simfikii kwa mafanikio yake nayataman ,sijali tabia zake maana naweza mjudge kumbe mie ndo mbaya zaidi kitabia ila kafika mbali sana na kumpa akili dai
Asante, pole na wewePole na majukumu mkuu
Ipo tu mkuu nenda darasa la pili A hapo jirani.wakuu hiyo interview mbona siioni?
Kwa bibi wa jf tuliwaachia wenyeweHahaha kule kwa Bibi wa jf
Hahahaha balaa tupuKwa bibi wa jf tuliwaachia wenyewe
Sijajua team mama abdul na wale wengine wameongea nini ila ni povu tu nahisi
Ipo tu mkuu nenda darasa la pili A hapo jirani.
Maana huku ni darasa la pili B ni wapiga kelele.










Ni sheeeda aiseeHahahaha balaa tupu
maneno ya mkosaji mfyuuuuu

ila hata kama ingekuwa ni wewe lazima ujifariji yule mama ana moyo sana
Sana jamaan ila wanaume jamaan acha tuila hata kama ingekuwa ni wewe lazima ujifariji yule mama ana moyo sana
Jamaani ndugu zangu muwe na usiku mwema nitarudi kesho panapo majaaliwa.
Nawapenda woote.![]()
![]()
![]()
Coco yupo kweli?Ni sheeeda aisee
Ulikuwa unatajwa kila siku,ilibaki kidogo tuandamane hadi kwa mods
Tulikumiss sana basi tu
Yupo uzi mwingine hukoCoco yupo kweli?
Mimi zaidi mpendwa,za masiku?Woow
Miss you
Huku ndio Basi Tena au?Yupo uzi mwingine huko
Huku tumeshauteka wa kwetu huu ulikuwa wa kukusanya maswali tu mshkaji wanguHuku ndio Basi Tena au?