carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,616
Acha wanafunzi wajifumze,sisi wafanya fujo tuenselee hukuWatakuwa wanafatilia kimyakimya si ndio zao hizo kuwa sisi fujo zetu zinasababisha hivyo
Acha wanafunzi wajifumze,sisi wafanya fujo tuenselee hukuWatakuwa wanafatilia kimyakimya si ndio zao hizo kuwa sisi fujo zetu zinasababisha hivyo
Kumbe kashakuja?
Me nimewakariri aiseeHao mpaka kuwatafuta maana hata sikua nawakariri majina




Tayari na interview inaendeleaKumbe kashakuja?
Ulikuwa wapi jamaanKumbe kashakuja?
Huyu dada wolper ana muharibu sana na yale magauni yake kama popobawaNaona kaanza kunywa maji woiiii![]()

Yani nipo humu ila notifications zinachelewa kuja leoUlikuwa wapi jamaan
Njoo kwangu uchukue kozi![]()
Huyu dada wolper ana muharibu sana na yale magauni yake kama popobawa![]()
![]()






wolper stylishHuyu dada alikuwa na weusi mzuriNaona kaanza kunywa maji woiiii![]()
Jamaan tupo kwenye uzi wetu huku tunajiachia wenyeweYani nipo humu ila notifications zinachelewa kuja leo
Kwanza kakimbia
Wako wa3Me nimewakariri aisee![]()
Ndo huko nilikuwa naona kimya
Mi pia nianze kunywa maji aisee.Huyu dada alikuwa na weusi mzuri
Aliyemdanganya kunywa maji hamtakii mema kwakweli