Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Nenda shule hukooo






nimecheka kwa sauti na ubibi gagula huu ujifunze nini jaman
Nenda shule hukooo






nimecheka kwa sauti na ubibi gagula huu ujifunze nini jamanWako wapiii watu hawataki utaninaona carba anabishana na mdogo wako wa hiari sisi team wambea tunajaza uzi kwa dakika tu woiiii tuwaachieni uzi wao
HeeeYupo huko
Tena hadharani. Lolwanapongezana jf hii live long aisee
Hujazoea tuu, miee huniuma na kusahaunatoa ya moyoni ujue inauma kutolewa povu halaf mapovu toka Jana usiku na leo wameendelea
Ulikuwa kama mie mana sikuchangia kabisa zaidi ya kushukuru kuitwa then nikawa napita zangu kimya kimya.Halaf me machale yalinicheza toka jana nilivyotoka sa 1 sijajisikia kabisa kurudi
Hata miee nilitoka mapema ndo asubuhi kuupitiaHalaf me machale yalinicheza toka jana nilivyotoka sa 1 sijajisikia kabisa kurudi
natoa ya moyoni ujue inauma kutolewa povu halaf mapovu toka Jana usiku na leo wameendelea

Shangaa na wewe jamaniinimecheka kwa sauti na ubibi gagula huu ujifunze nini jaman
naona carba anabishana na mdogo wako wa hiari sisi team wambea tunajaza uzi kwa dakika tu woiiii tuwaachieni uzi wao


nimekuona ujue
SijamkutaNenda tu mwaya.![]()
![]()
![]()
Huko kwenye huo uzi ujueWako wapiii watu hawataki utani
Kule kwenye interview et anauliza hii team umbea umeiita ya niniWako wapiii watu hawataki utani

watu hawa
Halaf anashangaa kumbe huu uzi wa interviewUjue carb anagombana kule.![]()
![]()




Umeshindwa kuvumilia. Ikabidi umuulize umbea wetu ni upi?nimekuona ujue