ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,001
Ngoja nikawatafute najua pakuwapata hawa watuNumbisa nilimuona asubuhi emmyta sijamuona leo
Ngoja nikawatafute najua pakuwapata hawa watuNumbisa nilimuona asubuhi emmyta sijamuona leo
AbeeRudi hapa

Yaan leoSasa leo tumuoneshe mfano![]()
![]()
![]()
KabisaaaWaachieni wajuaji kule
Utazoea tuuMe sijui kama nitaweza![]()
Unaogopa povu?Mie niko poa
Mdogo unakuwa mzito leo
Sawa sawaNdo nimesema Leo kule hatucomment tunaenda kusoma na kurudi hapa
Hahahasikutegemea kwakweli
Ndioooooo watakavyosemaMuosha masefuria atatia huruma na wambea utasikia afadhali interview ya leo inaeleweka chit chat hamna![]()




Asante mdogo wanguPole dada
Wewe tena mama wa kufukua makaburiNgoja niende
Halafu watu wagongea msumariNenda tu me nilisoma nikabaki nacheka maana si kwa mineno ile
Hata mimi dada ujue nimejifunza kitu unaweza kucheka na mtu kumbe unamkeraSio kwa povu la janaa, Sipendi kweeeli kumkera mtu
Itabidi uweze ujueMe sijui kama nitaweza![]()
Nani amekufichaSijambo mpenz