ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,001
Sikuwaona leo humu halafuYe mwenyewe katukubali tunachangamsha uzi wake,wengine tu ndo viherehere humu
Sikuwaona leo humu halafuYe mwenyewe katukubali tunachangamsha uzi wake,wengine tu ndo viherehere humu
Sasa leo tumuoneshe mfanoWe huoni mwenyewe kaja kutuita huku,uzi umepoa

Waachieni wajuaji kuleKule hakuna jipya
Kituo cha kati kwenye uzi wa ffMmh jana nilikuwa kwa kuchelewa mdog wangu povu hilo lilitolewa kituo gani
Afadhali AiseeeeHuu uzi wetu ujue sio wa interview ebu ongea hukooo
Hujambo Mrs head
Ndo nimesema Leo kule hatucomment tunaenda kusoma na kurudi hapaWaachieni wajuaji kule
Waache vifront frontMuosha masufuria mwenyewe katuita kule ni kiasi tulivyo muhimu kwake




Kituo cha ff kule pages za mwisho mwisho kabisaMmh jana nilikuwa kwa kuchelewa mdog wangu povu hilo lilitolewa kituo gani
Niko salama my wii, sio kwa mchambo ule wa mumeT hajamuacha wii salama kabisa
Kabisa tena tukapite kimyakimya tuWaachieni wajuaji kule
Saa ngapi tena?me nilivyowaita nikasepa na uzi ukadororaSikuwaona leo humu halafu
Kaka yangu si wamchezo mchezoNiko salama my wii, sio kwa mchambo ule wa mume
