Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Sio kwa vihere here vile jaman au tatizo ni kampani huna au ni niniiiYe mwenyewe katukubali tunachangamsha uzi wake,wengine tu ndo viherehere humu
Sio kwa vihere here vile jaman au tatizo ni kampani huna au ni niniiiYe mwenyewe katukubali tunachangamsha uzi wake,wengine tu ndo viherehere humu
Hapo sasa ona sahivi kule kulivyo poozaYe mwenyewe katukubali tunachangamsha uzi wake,wengine tu ndo viherehere humu

Huu uzi wetu ujue sio wa interview ebu ongea hukooo
Kule hakuna jipya bora tubaki hukuhuku ili wajue thamani yetuKule mpaka sa 12 na 30tuendelee na uzi wetu
T hajamuacha wii salama kabisamwendo wa emoji tu woiiiii kupatwa kwa dada kweli wanadamu kiboko
Hata sielewi kwakweli watu wametoa povu kwenye uzi wa ff hadi raha,eti tunaharibu interview wengine wanashindwa kufuatiliaSio kwa vihere here vile jaman au tatizo ni kampani huna au ni niniii


We huoni mwenyewe kaja kutuita huku,uzi umepoaHapo sasa ona sahivi kule kulivyo pooza![]()
![]()
![]()
Mmh jana nilikuwa kwa kuchelewa mdog wangu povu hilo lilitolewa kituo ganiJana mama watu walitoa povu hivi tunavyochat ujue
Tatizo hawana jipyaSio kwa vihere here vile jaman au tatizo ni kampani huna au ni niniii

Itabidi atumilikishe kabisa huu uziHalaf huku lazima turudi mjue ndio kiwanja cha nyumbani uzi watu huu
Mmmh mbon leo viimoji tu dada
Ogoha wanadamumwendo wa emoji tu woiiiii kupatwa kwa dada kweli wanadamu kiboko
Povu lao la sabuni ya mkopo wala halinichafuiHata sielewi kwakweli watu wametoa povu kwenye uzi wa ff hadi raha,eti tunaharibu interview wengine wanashindwa kufuatilia
Watu wanawivu khaa
Walimwengu sio wemaLeo ni emoji tu![]()
![]()
![]()