Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
Ooooh basi sio yeye sijawahi iona mieHiyo Id naionaga kule kwenye uzi wa likes sijui kama ni yeye
Ooooh basi sio yeye sijawahi iona mieHiyo Id naionaga kule kwenye uzi wa likes sijui kama ni yeye
Hahah mie sina hof jeshi langu lipo imaraWatu wanaogopa ban et![]()



Subiri nikatafute uzi wa interview niwaiteHuu uzi nahisi utakuwa uzi wetu wa kupiga storyuzi wa interview sio huu


Cuzoooo ushawahi kuwaona ujue napita kimya nampaga likes tu carba aone uwepo wanguIla mkiwa kwenye uzi wa likes mnabebishana hatarii![]()
![]()
![]()







Ndo nimeingia mjin leo ilikuwaje kwanNiliuona leo wii kaufyata balaa![]()
![]()
![]()
Afadhali twaja muosha naniiUzi maalumu Wa interview ya cocochanel upo chitchat tayari



Sawa mkuuHapana mkuu.
Upo chit chatUzi wa interview uko wapi?mda si tayari ama
Naongea na simu
Hallow,hapo ni peramiho eeh![]()
ndioooo wewe ni Shunnie

Twendeni kwenye interview tayari dj kaja kutuitaHuko watu si hawataki watu tu chit chat jaman


Ila mkiwa kwenye uzi wa likes mnabebishana hatarii![]()
![]()
![]()
Cheka mamy maisha yenyewe mafupi haya kununa nuna tuwaachie wenye vipaji vyaoaisee umenichekesha sana
Ebu katuite jamaanSubiri nikatafute uzi wa interview niwaite![]()
Jana mama watu walitoa povu hivi tunavyochat ujueNdo nimeingia mjin leo ilikuwaje kwan