Mwendazake huko aliko anakula vifuti, vichwa, mateke, viboko, na kung'atwa na majoka makali
Wanaogopa sanamu litauliwa kwa kupigwa mawe?
Kuaminishwa.Ngada humohumo
Mmh mtego huoJamaa aliwekeza sio kitoto, kwani bado tu haijapatikana mbadala wake?
Sikumbuki this appearance ilikuwa by when? Ninachokumbuka kuna wakati John Dillinga Matlou (DJ JD) aka everlasting DJ aliwahi kuwa mmoja wa DJz waliopiga hapo kabla ya kuunda Powerful 4 na akina DJ G love. Ilikuwaga ni balaa sana ......jamaa anaujua muziki na anajua kucheza na mashabiki.... scratching, cutting ad lips hasa kwenye R&Bs na Hiphop...ilikuwa kali sana nilikuwa sikosi weekend kuwapo hapo.Weekend vibeView attachment 1768401
Ni katika kipindi hicho baada ya ukarabati mkubwa ndio ikaja ku hit sanaSikumbuki this appearance ilikuwa by when? Ninachokumbuka kuna wakati John Dillinga Matlou DJ JD aliwahi kuwa mmoja wa DJz waliopiga hapo aisee ilikuwaga ni balaa sana ..jamaa anaujua muziki na anajua kucheza na mashabiki.... scratching, cutting ad lips hasa kwenye R&Bs na Hiphop...ilikuwa kali sana nilikuwa sikosi weekend kuwapo hapo.
Nakumbuka mara ya mwisho kuingia ni miaka ya 2010 -2014 hv.
Lkn pia kutokea club kama Billicanas/Mawingu/Triple A, Moro Hotel etc. Ni ngumu kwa sasa maana lounge zimechukua nafasi ya clubs, so people wanaamua kuwepo lounge zaid kuliko clubs ambazo nyingi zinakuwa zimejaa watoto na utoto wao.
Hapana, wanalinda au kutetea legacy ya marehemu kwa nguvu zooteWanaogopa sanamu litauliwa kwa kupigwa mawe?