Clouds yaipotezea UKAWA

Nilisikia hata mm bt I was very disappointed kusikia mtangazaji wa radio anatoa comment za namna hiyo tena akiwa hewani, mawazo haya yakanijia kichwani

Watangazaji wa namna hii ni hatari sana kwa kizazi au jamii ya leo

Je clouds wana upande wao tayari katka suala hilo coz they have to know wapo wanaounga mkono ukawa kujitoa which means wanawapotezea na hao pia

Je wanasoma Habari kutokana na mahitaj yao na sio mahitaj ya wasikilizaji

Je hawa ukawa nao wakiamua kupiga kampeni ya kusema wananchi wanaowaunga mkono waipotezee clds km wanavyotaka wao,watabaki salama?

Mi nadhan clouds wangeondoa msemo wao wa radio ya watu coz in reality si radio ya watu tena

Nitapost mengine muda kidogo umebana
 
Clouds=tbc=uhuru=mzarendo=habari leo=ccm.

Umesahau Jambo Leo. Siku zote Clouds ni CCM hilo liko wazi na ni haki yao. Watu wanaolaumu UKAWA wana kumbukumbu fupi. Sikiliza; Bila Chadema kususia hotuba ya J.K wakati wa uzinduzi wa Bunge jipya 2010 CCM na Rais wasingefikiria swala la katiba mpya. Bila Ukawa kutoka Bungeni mara 2 sheria ya Mabadiliko ya katiba isingerekebishwa na kuwa bora zaidi na wajumbe wa makundi mbalimbali kuongezwa kutoka 56 hadi 201 wa sasa. Tukumbuke hata kugoma na kususia ni se sehemu ya demokrasia. Ndio maana chama cha wafanyakazi cha COSATA-S. Afrika kinaheshimiwa mno kwa kuwa kiliendesha migomo dhidi ya ufedhuli wa makaburu. Dr. Martin Luther King anaeziwa kwa kuendesha kampeni za amani dhidi ya ubaguzi. Wenye maono mafupi wanalaumu Ukawa lakini matokeo yake yataonekana. Ni bora kuacha katiba ya sasa iendelee kama ilivyo kuliko kuwa na katiba mpya yenye mapungufu lukuki. Ndio maana tunasikia kelele kila kona kuhusu Ukawa maana hata CCM wanajua bila Ukawa uhalali wa katiba mpya haupo.
 
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.

Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.

Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.

Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?

Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?

Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??

Nawasilisha.

Kwanza kabisa hao akina PJ na Barbra na hiyo media yao wote ni vibaraka wa ccm na yule kibonde wao, halafu hao sio watanzania wenye kuhitaji katiba mpya hao ni wachumia tumbo tu kama kweli wanaitaka katiba mpya wangekuwa wakwanza kuwashauri ccm waheshimu maoni ya wananchi sio kuiponda UKAWA ambao hawako tayari kushiriki dhambi ya kusigina maoni ya umma. Kulazimisha UKAWA warudi ni mawazo yanayotolewa na vilaza tu, kwani hawakuwa wkishuhudia bunge lilivyokuwa likiendeshwa kwa ubabe,hawakuona upindishwaji wa kanuni chini ya sitta? Huu unafiki utatupeleka wapi? Kama wao kweli wana uchungu sana waambie ccm ukweli kuwa waheshimu maoni ya wananchi.
 
Sasa subili ukawa waje wachaluke Wenje si wanakuja mwanza kwenye lile tamasha lao la wizi wizi tu kama vipi wambieni wananchi nao walipotezee watafuliaje ha!ha! (Utani tu)
 
Nilikuwa nasikia tu sauti yake nikawa naimagine ni mdada mzuri mwenye swagger duh nilistaajabu nilivyoona picha yake kwenye blog moja hivi aiseee sauti na muonekano wake ni vitu viwili tofauti

Ha ha ha Honey Faith.. Sipati picha kaka yako anakuja kujidai kwako kwamba kapata bonge la mtoto kwa sauti tuu.. Halafu siku ya siku unapata bahati ya kukumbana uso na uso na wifi yako lol..
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nasikiliza hii radio lkn nikaanza kujipunguza taratibu, nikabaki na magazet kwa asubui, ushauri wangu ws bure sikilizeni east Africa radio asubuhi mkiwa mnaenda kwenye mihangaiko yenu, awamlishi msikilizaji sumu
 
Ha ha ha Honey Faith.. Sipati picha kaka yako anakuja kujidai kwako kwamba kapata bonge la mtoto kwa sauti tuu.. Halafu siku ya siku unapata bahati ya kukumbana uso na uso na wifi yako lol..

Nitaheshimu hisia zake si unajua uzuri wa mtu uko machoni?Na haya mapenzi hatuangalii sura ni moyo ila kama angekuja kuomba ushauri nahisi nisingemshauri
 
Last edited by a moderator:
Radio tbc ,
Radio clouds
Gazet la uhuru
Jambi leo,
Na wewe!!
Hamtoweza kuwatangaza ukawa Maana mnakula pamoja,
Na ukawa tishio lenu

Tanzania daima, ----- na marehemu Mwa.na.h.al.i.si bila kuisahau IPP iliyonyimwa vitalu vya gesi hamuwezi kutangaza habari za serikali kwasababu imewanyima nafasi za udalali wa rasilimali za nchi.

Tamaa zenu za mali na madaraka ndio maana mnaichukia serikali.
 
ukawa shenzy type badala ya kwenda bungeni kutunga katiba wao wanaleta siasa muda wote

tupa kule ukawa
 
Wananchi ni nani? Au wewe ni mwanachi na wao si wananchi?
sijibu maswali yasiyo na kichwa kama hayo....kama unajua maswala ya takwimu najua utaniambia uwiano wa watu wane(mbwiga, babra, pj na hando) wanatosha kuwa sample ya watu zaidi ya million 40. ilibidi nisikujibu ila nimeamua tu
 
Hivi clouds nayo ni radio ya kusikiliza?
Kwanza hao ni vibaraka wa ccm siku nyingi tu hawana jipya.
 
Hivi bado kuna watu wanasikiliza hicho kijiwe cha wahuni? Umekosea njia mkuu heri la saba kuliko s/s failure, ndio maana.... hata majina... PiJo kwetu ni jina la mbwa-koko. Nadhni wenye akili tilishawapotezea siku nyingi
 
Uyu mleta mada anaakili timamu kweli?anazani wa2 wote ni wavivu wa kufikili kama yeye?
 
Clouds FM be careful otherwise you will diminish your integrity in the face of indigenous Tanzanian while dealing with public interest. Before murmuring in your Media you are supposed to analyze the matter logically and don't ignore the think tanks of this country as they are working harder to bring about changes in our country. I am very much sure that Barbra and her team today has shown their political side instead of acting impartial.

Thus for the purposes of maintaining the integrity of Clouds Media to public in my view, I will appreciate much if your MD will take the collective responsibility to apologize for wrong interpretation about the UKAWA and other think Tanks movement.
 
wewe na hao power breakfast mmepokea bahasha toka lumumba. UKAWA waende kujadili rasimu ya ccm?! tume ya Jaji Warioba iliwasilisha rasimu ambayo ccm hawaitaki na wamefanya uhuni kwa kutumia wingi wao kuihujumu. Ukawa Ni wazalendo kama Jaji Warioba na team take.

We umeiona....
 
Uyu mleta mada anaakili timamu kweli?anazani wa2 wote ni wavivu wa kufikili kama yeye?

Siewezi Kuwa na akiri pungufu y kulazimisha rasimu iwe katiba bila kujadiliwa na kufanyiwa marekebisho kwa manufaa ya nchi na si kwa manufaa ya wapenda madaraka.
 
sijibu maswali yasiyo na kichwa kama hayo....kama unajua maswala ya takwimu najua utaniambia uwiano wa watu wane(mbwiga, babra, pj na hando) wanatosha kuwa sample ya watu zaidi ya million 40. ilibidi nisikujibu ila nimeamua tu

Ndiyo maana viongozi wenu wamekimbia bungeni kwa kukosa hoja. Elimu muhimu sana, kiongozi akiwa na elimu kila kitu kinaenda smoothly.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom