Clouds yaipotezea UKAWA

Clouds yaipotezea UKAWA

Nilikuwa nasikia tu sauti yake nikawa naimagine ni mdada mzuri mwenye swagger duh nilistaajabu nilivyoona picha yake kwenye blog moja hivi aiseee sauti na muonekano wake ni vitu viwili tofauti

babra.jpg
 
Last edited by a moderator:
Babra Hassan huyu kapoteza kabisa haiba yake ya utangazaji,naomba CV zake, uwa anashupaa sana na maneno ya kiingereza ili tumuone msomi kumbe kanjanja leo kashupaa na UKAWA, kinyume kabisa na maadili ya Utangazaji hajui ata miiko ya taaluma yake,{Back Tanganyika}.
 
Unajuaje kama ni mkubwa kwangu?Ninaweza kuwa mie ni mkubwa kwake.By the way sikutegemea alivyo kulinganisha na swagger zake za redioni.Inaonekana unapenda wafupi na wenye hips Richpol

Mkubwa huyu kwako! First born wake Ana 14 years old wewe na mwingine katika wimbo (natamani Kuwa Malaika- Lady jaydee) kama umeuona wimbo huo ni Mtoto wake na wanafanana sana.
Mimi napenda msichana mwenye umbo kama lako, nachanganyikiwa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
ka redio ka wachumia tumbo kale, wasipoisifia ccm watakula wapi?
 
Mkubwa huyu kwako! First born wake Ana 14 years old wewe na mwingine katika wimbo (natamani Kuwa Malaika- Lady jaydee) kama umeuona wimbo huo ni Mtoto wake na wanafanana sana.
Mimi napenda msichana mwenye umbo kama lako, nachanganyikiwa kabisa.

Mie first born wangu ana miaka 18 sasa si unaona nimemzidi mbali sana.Haya Richpol endelea kuchanganyikiwa kabisa ila angalia usijefika milembe kwa uchizi unaojitafutia........lok
 
Last edited by a moderator:
Wandugu fanyeni kazi kweli mnaweza kubishana kwa ajili ya BABRA PJ NA MBIGA?
makanjanja hawa wanapalilia maccm ili wapate mshahara
bwana mkubwa anawa boost sana.
UPEO MDOGO SANA WA HAWA WATU!
 
Mie first born wangu ana miaka 18 sasa si unaona nimemzidi mbali sana.Haya Richpol endelea kuchanganyikiwa kabisa ila angalia usijefika milembe kwa uchizi unaojitafutia........lok

Hata mimi my first born Ana umri kama wako,
Wacha niendelee kuchanganyikiwa maana sisi bila nyie Dunia haiwezi kuzunguruka.
 
Last edited by a moderator:
Hii station si ndo watangazaji wake walizitwangwa wakiwa live on air??
 
Mkubwa huyu kwako! First born wake Ana 14 years old wewe na mwingine katika wimbo (natamani Kuwa Malaika- Lady jaydee) kama umeuona wimbo huo ni Mtoto wake na wanafanana sana.
Mimi napenda msichana mwenye umbo kama lako, nachanganyikiwa kabisa.

Umeongea upuuzi mtupu. Wewe hapo una miaka 30. Mama yako alipigwa mimba wakati ana miaka 15 huoni kama mama yako bado m-bichi kabisa pamoja na kuwa na toto lenye 30 Yrs? Na bahati yake mbaya toto lenyewe limejaza makamasi tu kichwani
 
wewe unawasikiliza wahuni wa Clouds alafu unataka tuwajadili kwa lipi?

wewe hufahamu clouds Media inasaidiwa na ccm hata baadhi ya kodi hawalipi kwa sababu wanaibeba ccm?
 
Umeongea upuuzi mtupu. Wewe hapo una miaka 30. Mama yako alipigwa mimba wakati ana miaka 15 huoni kama mama yako bado m-bichi kabisa pamoja na kuwa na toto lenye 30 Yrs? Na bahati yake mbaya toto lenyewe limejaza makamasi tu kichwani

Mbona hueleweki? Umekunywa nini mchana huu wakati hakuna mkutano wala mdahalo leo?
 
Umeongea upuuzi mtupu. Wewe hapo una miaka 30. Mama yako alipigwa mimba wakati ana miaka 15 huoni kama mama yako bado m-bichi kabisa pamoja na kuwa na toto lenye 30 Yrs? Na bahati yake mbaya toto lenyewe limejaza makamasi tu kichwani

Aiseee una maneno makali sana na haipendezi kabisa kuwaingiza wazazi kwenye mambo ambayo hayawahusu.Hebu tuwe na respect kwa wazazi wetu
 
Back
Top Bottom